Zamaradi amewaza nini kumhoji Gigy Money?

Zamaradi amewaza nini kumhoji Gigy Money?

Yaaan hiki kpnd knakosa maadili kila kukcha na wahusika wanakiacha tu au kwakua ni cha clouds? Tz kla ktu ubabaishaj wahusika wanafanya kaz kwa mhemko.
 
Kwann muangalie km hampendi??? Kuna a lot of channels huku Tanzania na duniani....mnakuja hapa kutokwa na mapovu ya omo wkt kipindi mmeangalia mwanzo mwisho.... ingefaa tu ile unabadili channel na kkuta kuwa ni interview ya g.money unabadili fasta nakumuomba Mungu msamaha kwa kuangalia upuuzi ambao hauna maadili....watanzania sisi niwanafiki wkt mwingine.... mnamuona gigy hafai bt its coz yake kayaanika public. Je ww ambaye yako hatuyaoni? You see her as a sinner just bcoz she sins differently from you.
 
Mpaka sasa nimesoma comments zote katika Uzi huu na kugundua

...
Watanzania Wa ng'ambo yaani diaspora wengi wanasapoti ubazazi na uhayawani unaofanywa na hawa clouds kuanzia alipohojiwa shoga mpaja alipohojiwa huyo kahaba... Watu hawa hawajielewi wengi ni upstairs kila kitu kinachoendelea bongo wanakitolea mfano nchi za magharibi bila kuangalia hata maadili na tamaduni zetu kama zinaruhusu ama laa!!.... Naanza kuamini kwa nini magufuli kawatupia baharini kwenye uongozi wake na ninamsihi mheshimiwa magufuli hawa kaka na Dada zake gigy money na yule shoga wapotezee kwenye utawala wako na ikiwezekana kamata peleka huko Guantanamo hawana faida yoyote zaidi ya kutumalizia oksijeni na kutuongezea hewa ya ukaa angani..
 
Biashara matangazo wacha azidi kupanda bei. EFD machine inamhusu huyu
 
Vipindi vingine havina maadili kabisa katika jamii. Nini hasa malengo ya kipindi hicho?
 
Mtu na mdogo wake wanaangalia take one ya clouds TV.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nimecheka kwa loudspeaker watu mna vituko jamani
 
Kahaba anajiuza anatoa kwa malipo, malaya yeye ni tabia yake tu kugawagawa... sasa ukaja kukuta ni KAHABA na wakati huohuo ni MALAYA ni shida sana
Kwenye Lugha ya huko nafikiri mmoja ni Harlot na mwingine Prostitute
image.jpeg

Unaweza kuwa malaya bila kuwa kahaba,lakini huwezi kuwa kahaba bila kuwa malaya.Kuna Malaya wengine sio makahaba,ila Makahaba wote ni malaya
 
siifahamu hata sauti ya huyu binti zaidi ya kumuona kwenye picha mnato.Nitumie fursa hii............kumuangalia na kumsikiliza."Curiosity killed the cat, but satisfaction brought it back"😎
 
Ukiwa kicheche kwa watu maarufu na wewe unakuwa maarufu ukijumlisha na Instagram basi wanajiona kama wakina Kim kardashian wengine amber rose yaani ni upuuzi tu wanauza papuchi na kujitangaza through media maybe huyo zamaradi anapewa hela za kuwapa promo hao malaya
 
jamani ndugu zangu kumbukeni nanyi pia mnaocomment humu ni wazazi,walezi na kuna wengine mmekataa mimba nyngi sana!
Tuombeeni Mungu tu jamani yasitukute ktk vizazi vyetu!
Maneno mnayotoa ni Makali mnoo as if sie ni malaika
yule binti tayari yuko psychologically affected kumbuka,amekataliwa na baba,amezaliwa mazingira ya hovyo,mama mwenyewe aliyemlea wa hovyo,amekulia malezi ya kuanza mapenz miaka13 aiseeehh!!
Jamani haya mambo yapo sana kwenye jamii zetu tena gigy amewakilisha wasichana wengi mno nyuma yake.

Kingine hao we so called celebrities wa bongo wote ni km kina gigy tu ukiskiliza story zao za kitambo utakimbia
Kuanzia kina Klynn mnaowaona masupa lady mpk kina shilole na faiza wote wako under the same roof!Sema wao kipindi hicho hakukua na digital tu
Cha msingi shukuru sana Mungu wako umelelewa vyema na ukasikilza Yale uliyoambiwa mpk Leo uko hapo.
Gigy ana inferiority complex that's her problem!na akifika anapopataka atatulia!
 
Back
Top Bottom