Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hawajui kuwa unaweza ukawa na baba proffessor na chuo usikanyage kabisa😅Bro una hoja za kizamani sana. Zamani ndio tulikuwa tunasema " Usimuone yule jamaa Simple tu, yule wana undugu na Mkuu wa Mkoa". Mjomba wake ni Balozi Ulaya huko.