Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Bro una hoja za kizamani sana. Zamani ndio tulikuwa tunasema " Usimuone yule jamaa Simple tu, yule wana undugu na Mkuu wa Mkoa". Mjomba wake ni Balozi Ulaya huko.
Hawajui kuwa unaweza ukawa na baba proffessor na chuo usikanyage kabisa😅
 
Sasa naelewa kwann marehemu Rugemalila Mutahaba alikuwa akilia kama mtoto alipokuwa akimbembeleza huyu bibie asimuache. Pengine ana mapenzi ya ukweli sana.
Kuna watoto wanajua kuonesha mapenzi mzee akisema anakuacha lazma uchachawe vibaya mno!
 
Sio tu kukojoza, tenderness, mshiko na ubunifu ndio silaha za maangamizi!

Viji uzungu uzungu kwa mtoto kama Zamaradi ndio komeshea yani!
Wapi huyo ni mtoto wa kiswazi namkumbuka kipindi ndo kanaingia kwenye utangazaji miaka ya 2005-2007 anatangaza kipindi cha mziki kituo cha C2C... Ni mtoto wa kiswazi tu
 
Wapi huyo ni mtoto wa kiswazi namkumbuka kipindi ndo kanaingia kwenye utangazaji miaka ya 2005-2007 anatangaza kipindi cha mziki kituo cha C2C... Ni mtoto wa kiswazi tu
Sawa ni mtoto wa kitaa ila ana passion na uzungu
 
Inakuwa Pretty thing pale ambapo kuna millions za kufanyia upuuzi wowote unaojiskia kwa mpenzi wako.

Njaa ingekuwepo mwamba angepokea boxer na vest tu kama kawaida ya wanawake wengi[emoji28]

Sahihi mwamba. Katika hilo macho yao ndivyo yanavyoangaza.
 
Kwahio sahizi mumeamua kuwa mwili mmoja sasa mpaka kwenye ID[emoji23] mi sijapenda ERoni mumeamua kuwekeana mabango Jeiefu [emoji23] Espy Eroni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We si huwa unatusisitiza tuwe na mapenzi ya dhati, ndio tumeanza hivi.
 
Sasa naelewa kwann marehemu Rugemalila Mutahaba alikuwa akilia kama mtoto alipokuwa akimbembeleza huyu bibie asimuache. Pengine ana mapenzi ya ukweli sana.
So Ruge na Status yake yote and he was pedestalizing this woman? Kweli Beta is the mindset.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We si huwa unatusisitiza tuwe na mapenzi ya dhati, ndio tumeanza hivi.
Kama umebadilika kweli nimefurahi maana ile ilikuwa ni pepo mchafu! Naona jini katoka sasa mwache braza ERoni ale mema ya nchi
 
Kama umebadilika kweli nimefurahi maana ile ilikuwa ni pepo mchafu! Naona jini katoka sasa mwache braza ERoni ale mema ya nchi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aah mimi sijawahi kuwa na pepo mchafu kama wewe bwana. Mie mtoto mwema kabisa yaani hadi najishangaa.
 
Back
Top Bottom