Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Ila wewe usikariri...Tena mwanamke akizaa kawaida na kushonwa vizuri anakua tighter than before...Mwingine anaweza akawa hajazaa na akawa na bwawa vile vile...

Acha kukariri labda unakutana na mabwawa au wewe ndo una maumbile kidogo
Huenda ikawa kweli
 
zama anajua kula na kipofu alikua single maza wa ruge akapata bwana na akamuoa acha ampembejee sio rahisi uyo jamaa jasiri sana, ma single maza wanajua mziki wake.
 
Narcissistic, childish shit. The money would have been better spent elsewhere.
 
Mimi nikifika kuweka kiasi hiko naomba mniwahishe mirembe itakuwa siko sawa 😂😂😂 hapo napata viwanja 3 kisemvule huko
 
Sista hebu mwambie shem huko M-pesa yangu inapokea, me sielewi wikendi hii bhana
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Kafanye kazi kaka [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…