Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Nikimcheki Jamaa namuona wa Kawaida Sana Kulinganisha na huyo Zamaradi. Tena Jina la Shabani ni kama Mwamedi. Anyway bwana Shabani unabahati sana
 
Nikimcheki Jamaa namuona wa Kawaida Sana Kulinganisha na huyo Zamaradi. Tena Jina la Shabani ni kama Mwamedi. Anyway Bro unabahati sana
Mapenzi mkuu. Mimi naogopa sana mapenzi maana unaweza ukafariki kwa mtu ambae huko nje wakikuona wanashangaa ni nini kinakutia kichaa. Bwana Shaban kwa macho ya sisi watazamaji ni mtu wa kawaida tu. Sidhani kama hata kifedha anamfikia Zama ila ndo kashapendwa
 
Kwahiyo nyie mkifanyiwa ni kawaida ila akifanyiwa Shaban mnaona Zama anabembeleza penzi?
Yaan hata ningekua mim..dada ajue nna ngwengwe na nna watoto mkewangu alidanja kwa ngwengwe...huyo dada lazima ntamfanyia makubwa snaa
 
Picha iko wapi sasa?
Hiyo Hapo
IMG-20220214-WA0016.jpg
IMG-20220214-WA0017.jpg
 
Yaan hata ningekua mim..dada ajue nna ngwengwe na nna watoto mkewangu alidanja kwa ngwengwe...huyo dada lazima ntamfanyia makubwa snaa
Sema hujapata wa kukufanyia mambo ya ngwengwe mnasema nyiee madokta wa mtaani. Msimseme mtu hali yake ya afya wakati hujampima na huna majibu yake. Sana sana mnakua mnamuonea wivu jamaa kupendwa. Maana Zama akitaka bwana wa maana zaidi anampata vizuri tu ila ndo kampenda fundi garage wake.

Jikazeni kina kaka na nyie mtakuja mpate kina Zama
 
Wadada mnakuaga wagum sana kuamin mambo..unaambiwa kabisa yule bwana ana ngoma achana nae husikii..mwisho wa siku unayavagaa unalaumu..aisee...mim huyo dada namjua kuliko unavyodhan..niishie hapa..na huyo jasiri muongoza way..nishafanya nae had kazi fulan fulan..so nawajua fika..na the whole industry ya entertainment inajua ...wako kimya tu..ni wewe tu dada angu ndo hujui...au useme kama unataka umbea(in warumis voice...RIP).. sawa..hahaha
 
Back
Top Bottom