Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Huyu jamaa amefanyiwa promo kindezi kweli. Hapo ataishia kuchakata ngozi mitaa yote ya Dar kwasababu tu alipewa turufu.

Huyo Zamaradi inawezekana hajiamini au kuna watu wanamsumbua na huyo mumewe ikabidi ajitokeze kuitangazia umma.

Inawezekana pia kuna kimbunga anakiona katika mahusiano ambayo anahisi kwa kufanya atalikwepa, yawekana mshakji ameanza kumchoka au jamaa ni mchakataji na ndoa ipo hatiani ikabidi ajaribu kurekebisha.

Pia inawezekana yeye mwenyewe anajindaa kumpiga mshakaji chini ila anaandaa mazingira, siku akiondoka jamaa aonekane kama yeye ndo kaharibu maana sisi tutaangalia kitendo hiki cha promo kama mapenzi ya dhati kumbe huko nyuma ya pazia, nyumba inawaka moto.

Ni jambo la kutafakari husuani ikitokea kwa mwanamke. She might be working on a big thing.

The rise and fall of a man is a woman.
 
Mimi na baby wangu siku ya leo ya Valentine day😁😁😁
AVuEO.jpg
 
Mapenzi mkuu. Mimi naogopa sana mapenzi maana unaweza ukafariki kwa mtu ambae huko nje wakikuona wanashangaa ni nini kinakutia kichaa. Bwana Shaban kwa macho ya sisi watazamaji ni mtu wa kawaida tu. Sidhani kama hata kifedha anamfikia Zama ila ndo kashapendwa
Mzigua90 Kuna vitu Unaweza kukuta huyo jamaa anavifanya kwa Zamaradi vinavyofanya Zamaradi azidi kumpenda jamaa Mfano mzuri Mimi kusema ukweli binafsi ni wakawaida sana na wala Sina fedha lakini wanawake niliobahatika kuingia nao kwenye mahusiano kipindi tofauti tofauti wananipenda ile mbaya mpaka najishangaa wengine Wananiona ni handsome lakini binafsi nikijicheki najiona wakaiwaida hata Wanaume wenzengu Wananiona kama navyojiona Mimi lakini nikaja kugundua personality ya upole, hekima, busara niliyonayo na maneno ya kimahaba ninayowaonesha ndio vinawa zinawavutia kingine na kikubwa zaidi ambacho wanawake wengi hawaongei ni kwenye sita kwa sita na mimi kwenye Hili eneo nipo vizuri Sana asilimia kubwa nawaridhisha ndio maana wananikubali.So huyo jamaa anaweza akawa na silaha ambazo kwa jicho la mtazamaji haoni lakini mwenye mali yake ndio anaona vizuri
 
Lipia tangazo HARAKA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa jf baadhi tuna makasirikio sana single mother hana haki ya kupendwa?!!!au dhambi!poleni sana!
Mnateseka na mapenzi ya Zamaradi ya kwenu hovyooo!!
Hakuna njia isiyo na kona...muacheni aiishi Leo zama wa watu!
Single mama wakati ana ndoa halali kabisaa inatambulika mpk kwa Mungu!endeleeni kuteseka na vichefuchefu wenu wanaowapa stress....mda wote mnaona mapenzi machungu

Ukihisi umeumia na Zamaradi alichokifanya jua wewe unachembechembe za kichawi na ukizerrka utakua mwanga!
Muacheni Dada wa watu hajaomba mumchangie pesa ya tangazo na Mungu amlinde Zamaradi na kizazi chake na hasadi zenu wajaa!
Wangefanya wazungu mngesifia[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]wanaafiki
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu wana machungu mama, inakuwaje wengine yawanyookee ilihali yao tia maji tia maji! Wanafurahia wakiona watu wana machungu kama wao.
 
Watu wa jf baadhi tuna makasirikio sana single mother hana haki ya kupendwa?!!!au dhambi!poleni sana!
Mnateseka na mapenzi ya Zamaradi ya kwenu hovyooo!!
Hakuna njia isiyo na kona...muacheni aiishi Leo zama wa watu!
Single mama wakati ana ndoa halali kabisaa inatambulika mpk kwa Mungu!endeleeni kuteseka na vichefuchefu wenu wanaowapa stress....mda wote mnaona mapenzi machungu

Ukihisi umeumia na Zamaradi alichokifanya jua wewe unachembechembe za kichawi na ukizerrka utakua mwanga!
Muacheni Dada wa watu hajaomba mumchangie pesa ya tangazo na Mungu amlinde Zamaradi na kizazi chake na hasadi zenu wajaa!
Wangefanya wazungu mngesifia[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]wanaafiki
Fact kumuonesha Umpendaye jinsi gani unampenda na kwa namna gani unamjali si dhambi
 
Back
Top Bottom