Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Mpaka muda huu chalii...ila nmepigiwa simu asubuh ya saa kumi na mbili na msg kama zote...nkamwambia aache utoto..hahaha..well...saa tatu namfata kwao namtoa dinner leo halaf mamrudisha kwao ...alikuepo weekend nzima huku kaondoka jana ...[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16]kaka kwani yule wii yetu mwenye tattoo hajakuletea zawadi ya Valentine[emoji2]