Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16]kaka kwani yule wii yetu mwenye tattoo hajakuletea zawadi ya Valentine[emoji2]
Mpaka muda huu chalii...ila nmepigiwa simu asubuh ya saa kumi na mbili na msg kama zote...nkamwambia aache utoto..hahaha..well...saa tatu namfata kwao namtoa dinner leo halaf mamrudisha kwao ...alikuepo weekend nzima huku kaondoka jana ...
 
Hawa viumbe jamani!! Wakipendwa taabu, tukiwaigizia napo taabu. Sijui wanataka nini walahi[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Makasirikio yamejwajaa wakaka wa jf![emoji1][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1]wanaumia wanatamani wangekua Shabaani ila ndo baaasi tena washakua kina Joseee
 
Tuteseke sisi kisa bango?hebu kuwa mkubwa kwanza ndio urudi tuzungumze....maana naona unapanic panic tu
[emoji16][emoji16][emoji16]mie nafikiri kuna mtu ndo anatakiwa akue. Mtu ambae anatumia muda wake ku criticize maamuzi binafsi ya mtu mwingine ambapo hayo maamuzi hayamuathiri yeye kwa namna yoyote. Huyu anatakiwa akue ajifunze ku mind their own business.
Anaetakiwa kukua ni ambae anakosoa mapenzi ya watu bila kujua kila mtu ana haki ya kumfanyia mpenzi wake chochote anachoona kinafaa kwake na kwa mpenzi wake. Huyu anatakiwa akue apate akili[emoji16]
 
Hebu Kalale huko ukue.
 
KWA UPANDE FLANI NA MUUNGA MKONO YULE DADA

ZAMA ZETU HIZI, WANAUME HATUSEMWI KWA MAZURI. TUNAONEKANA MASHETANI, MAMBWA, WATU KATILI!
ANGALAU HUYU KATI YA MILIONI 5O KAWEZA SIMAMA HADHARANI NA KUSEMA UKWELI.
Binafsi nimemwelewa huyu bint kwa alichokifanya kwa mwenzi wake ni jambo jema na zuri kimahusiano
Ngoja nikamuulize mama yo-yo wangu amekwama wapi kunipost na mie
 
Hapo kwenye kulamba koni sasa....kuna x wangu m1 enz hzo alikua ananambia bebi plz leo nisaidie kupika i promise u ntasuck ua d**ck..hahahha..
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]hiko ndo mwakijua wakaka wa kibongo hakuna kingine!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]so wapika then anasuck dick!
 
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]hiko ndo mwakijua wakaka wa kibongo hakuna kingine!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]so wapika then anasuck dick!
Suckin ni payback yamim kumsaidia kazi..hahah
 
Mpaka muda huu chalii...ila nmepigiwa simu asubuh ya saa kumi na mbili na msg kama zote...nkamwambia aache utoto..hahaha..well...saa tatu namfata kwao namtoa dinner leo halaf mamrudisha kwao ...alikuepo weekend nzima huku kaondoka jana ...
Huyo anakupenda kaka!na ndo mkeo huyooo!ukubali ukatae!mpeleke tu dinner!akale maisha!!!
 
Kuna wanawake wanampongeza Zamaradi humu, tena naona wanajimegea mapande "mwanamke akipenda kapenda kweli ".

Mimi nina swali kwa dada zangu JF hivi zawadi kubwa kumpa mpenzi wako (ukiondoa, soksi, leso na boksa),ilikuwa kitu gani?

Kuna wengine wakumbuki lini washawahi kuwapa zawadi wapenzi wao.Bango hilo mnaliona hapo mil 6 kwa mwezi moyo huo mnao dada zangu wa JF.
 
Kuna wanawake wanampongeza Zamaradi humu, tena naona wanajimegea mapande "mwanamke akipenda kapenda kweli ".

Mimi nina swali kwa dada zangu JF hivi zawadi kubwa kumpa mpenzi wako (ukiondoa, soksi, leso na boksa),ilikuwa kitu gani?

Kuna wengine wakumbuki lini washawahi kuwapa zawadi wapenzi wao.
Mimi jana nilimnunulia saa na nimemkabidhi leo🥰
 
Sina hela sasa mama watoto atanjwekaje hapo. 😂 🤣, pesa, pesa sabuni ya roho..

Mtu kaishapuliziwa hapo.
 
Love is in the air...hii ndio maana halisi vile bango kubwa lipo juu kwa hewa...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtoa mada bwana si ungesema hata bango la Pepsi eti condom
 
Back
Top Bottom