Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Na mwakani nawapost kwenye mwendokasi kama chumvi ya Neel au NMB
Sasa wewe jangili utapost wangapi? Si mwendokasi zote zitaisha itabidi ukapost hadi kwa bajaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mapenzi mkuu. Mimi naogopa sana mapenzi maana unaweza ukafariki kwa mtu ambae huko nje wakikuona wanashangaa ni nini kinakutia kichaa. Bwana Shaban kwa macho ya sisi watazamaji ni mtu wa kawaida tu. Sidhani kama hata kifedha anamfikia Zama ila ndo kashapendwa
Mwanamke ni hypergamy kiasili, ikitokea way around basi ujue options zake zimerestrict, siamini mwanamke kudowngrade kwenye mapenzi, na kuconclusion yangu nasemaga she lacks options.
 
Ah wapi nyie tukishawaoa mnaanza story mara nimechoka mara mchungaji japhet kasema doggy style sio kwa wanandoa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa si tunakuwa na majukumu mengi, muwe mnatusaidia ili tuwape mitindo yote.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa si tunakuwa na majukumu mengi, muwe mnatusaidia ili tuwape mitindo yote.
Sasa wee unataka majukumu gani hayo tuwasaidie....yaani nyie mnadhani kutafuta hela kuhakikisha unakula unavaa vizuri na bado nakugegegda vizuri ni shughuli ndogo.
Nyie bwana mnakuwaga na visingizio vingi sana ikija suala la kugegedwa mkishaolewa.
 
Kwakweli sio jambo dogo.

Unafikiri tatizo haswa ni nini?
 
Ebooo! Sio wewe ndio utupe maelezo kwa nini mbususu zenu mwazibania sana wakati mkishaolewa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi hata sijui maana sijawahi kuibania, nampa kila akitaka.
Kwani ni ya kazi gani hadi nimbanie na ni halali yake?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi hata sijui maana sijawahi kuibania, nampa kila akitaka.
Kwani ni ya kazi gani hadi nimbanie na ni halali yake?
Hongera kwa kutimiza wajibu wako kama mke. Mpe style zote mpaka apagawe mwenyewe
 
Huu uzi bado upo tu kwa mna jadili nini cha maana ?

#Nduki
 
I digg that mamii! Sema its worse kwa waliozaa likely ya kukuta tight kimanzi ni asilimia ndogo sana. Dr. Kwapa in the MIC atawaokoa lakini
Ila wewe usikariri...Tena mwanamke akizaa kawaida na kushonwa vizuri anakua tighter than before...Mwingine anaweza akawa hajazaa na akawa na bwawa vile vile...

Acha kukariri labda unakutana na mabwawa au wewe ndo una maumbile kidogo
 
Back
Top Bottom