simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,498
- 1,216
CEO Kusaga. Ruge mkurugenzi wa vipindi( wote wana share clouds)Ni Kusaga. Ila Ruge ndiye msimamizi mkuu
9
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CEO Kusaga. Ruge mkurugenzi wa vipindi( wote wana share clouds)Ni Kusaga. Ila Ruge ndiye msimamizi mkuu
mmmh,wenzako wamekata huko juu,wanasema ni mnyarwandamambo ya tanga hayo
Ruge ni mkurugenzi wa vipindi.Ni Kusaga. Ila Ruge ndiye msimamizi mkuu
mmh hata hao wanajiweza kwenye mapenzimmmh,wenzako wamekata huko juu,wanasema ni mnyarwanda
Alianza Dinna Marios uzuri Dinna sasa hivi akamatiki tenamapenzi engi, mahusino mengi ya kudumu uanzia ofisini mlitaka dada yetu hasipendwe? cha kuomba hapo ni kuwa ruge hasiwatimue kzi maasimu wa mke wake kisa, kiunom nop! Clouds ni chombo kikubwa
Ushauri wa kijinga sana! sijui wakati unaandika ulikuwa unawaza kama unaandika huu ujingaNi kosa la jinai kujinafasi na subordinate wako (period) na ikiwa hivyo lazima utamke wazi ili mtenganishwe, huo ndio utawala bora. Kilichopo ni aidha bibie amwage manyanga au Ruge auze share aanze upya
In his boyhood he did something terrible to a respected family at the "hill" by impregnating a primary school going daughter of his then foster family. Still a terrible person even in adulthood!!!Ruge Dont seem to be happy... My instincts
wote wa RugeSina uhakika huyo wapili. Wa kwanza ndio
ofcoz siyo povu ishu kama hii inatakiwa mkaidiscuss Facebook siyo huku watu makini hawadiscuss personal issuesPovu la nini?
Rekodi nyingi sio zote zinaonyesha kuwa mahusiano ya bossi na mfanyakazi wake mambo baadae huenda mrama upande wa kazini, Labda wao ni sehemu ya hao wachache watakao fanikiwa.
Sikuelewi umekuja resi na mihasira yako ya nini.
Nashukuru hukuniita mpumbavu maana kila mtu ni mjinga ndo maana hata hapa JF tunaelimishana. Ili uone ni nani mjinga anza kwa kusoma nyaraka za serikali yetu tukufu ===http://www.kilimo.go.tz/publications/english docs/Public Service Standing Orders.pdfUshauri wa kijinga sana! sijui wakati unaandika ulikuwa unawaza kama unaandika huu ujinga
Kwa kudhihirisha ujinga wangu ebu rudia kwa kumsoma huyu ndugu yetu mjuvi wa masuala haya. Zamaradi Mketema na Ruge Mutahaba waanika mahusiano yao ya kimahabaUshauri wa kijinga sana! sijui wakati unaandika ulikuwa unawaza kama unaandika huu ujinga