Zamaradi Mketema na Ruge Mutahaba waanika mahusiano yao ya kimahaba

Zamaradi Mketema na Ruge Mutahaba waanika mahusiano yao ya kimahaba

Ruge ana akili sana ya biashara.. ila tatizo lake hawezi tofautisha mapenzi na kazi...

hakuna kampuni yoyote inayojielewa inayoweza kuruhusu mtu na bosi wake walio na mahusiano wawe kazini.. hapo zamaradi inabidi asepe maana kuna conflict of interest.

ruge ataweza kumfokea au kumfukuza kazi zamaradi akikosea kazini? na je wafanyakazi wengine wanajisikiaje kuona mwenzao anapendelewa na bosi
Mhe. Jambazi ona na huyu halafu ujue nimetamka nini hapo juu
 
atakua mama kapewa ile kitu ya bukoba special aka kat...r...r...o!!!!
 
Ruge ni mkurugenzi wa vipindi.
Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji..... mwenye share nyingi ni JOH 65% dhidi ya 35% za RUGE...

Ila huyo Ruge huwa kuna tuhuma za chinichini kuwa ni mtu wa kitengo pale kwa Wang'oa kucha...

Otherwise ni mfanyabiashara mjanjamjanja kwani ndo mtafta michongo yote ya kampuni huku Joh akisubiri mgao wake huko DUBAI.
 
Katika hali iliyoshtua wengi, Mtangazaji wa Clouds Tv , Zamaradi Mketema, ametangaza hadharani juu ya uhusiano wa kimapenzi kati yake na "BOSS" wake Ruge Mutahaba.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zamaradi ameweka picha inayoweka wazi Mahaba ya wawili hao, picha ambayo ilipigwa wako was eneo moja la faragha.

Sambamba na picha hiyo Zamaradi aliandika " Your Mine, I am Yours. And that is Enough. My love " (Wewe ni wangu, Mimi ni wako. Hilo linatosha MPENZI WANGU).

Zamaradi ambae ni Mama wa mtoto mmoja , ameshangaza wengi kwa kuanika mahusiano hayo na "BOSS" wake. Ruge Mutahaba huwa ni mtu msiri sana, hivyo kukubali kuweka wazi mapenzi yake na Zamaradi inaonyesha jinsi gani amezama kwenye penzi la mermaid huyo wa Kitanga.
View attachment 330312 View attachment 330313 View attachment 330312

Nilishalisema Hili Humu Humu JF Na Rekodi au Ushahidi KUNTU Kabisa Upo Lakini Nilipokea MATUSI Na KASHFA Za Kila Aina Sasa Baada Ya Kuthibitishiwa Hivi NAWAOMBENI WALE WOTE MLIONITUKANA NA KUNIKASHIFU MNIOMBE MSAMAHA a.k.a RADHI Vinginevyo NAMUACHIA Mwenyezi Mungu AWAHUKUMU Mmoja Mmoja. Na Hili Liwe FUNDISHO au FUNZO Kwenu Kuwa Nikija Na UZI NYETI HUMU Mjue Kuwa 99.999% Nina UHAKIKA Nao Na SIJAKURUPUKA. Nasubiri Kwa Hamu SAMAHANI Zenu.
 
Hivi CEO wa clouds media ni RUGE ama KUSAGA?msaada tafadhali maana kuuliza si ujinga.
CEO ni Joseph Kusaga (Joe) na Ruge Mtahaba ni Program Manager (PM) kwa upande wa Clouds FM,
sijui kama anakitengo kingine maana Clouds Media ni kubwa.
 
Uyo ruge si niliskia chakula yaan analiwa na wenzie so inamaana huyo dracula hajui???
 
Mke wake vip? Amemwacha? Hawa mabint sikuhiz kuzaa na waume za watu wanaona kawaida sana
Men ukiwa na pesa tu baaaas
 
In his boyhood he did something terrible to a respected family at the "hill" by impregnating a primary school going daughter of his then foster family. Still a terrible person even in adulthood!!!
Now thats sadder... I assure you the lightning that will strike him is still in the gym making push-ups...Karma, they say.
 
Ubaya uko wapi...ikiwa siri shida...ikiwa wazi shida...
Kwani asojua kuwa hawa ni wapenzi nani?
Kikubwa ni kuwaombea waweze kuhalalisha mapenzi yao ...

Kuwa boss siyo issue kwani kuna family businesses kibao
 
Ruge namjuwa hajasettle kwenye mambo ya relations ...naona Binty kasubiri "boss" avunje ukimya hadharani......akaona asijeishia kugeuka Incubator bure.....bora atangaze mwenyewe ......
Haya mambo muoaji Huwa ndio hutakiwa kutangaza.....Ila akichelewa ndio hivyo ..wengine bila kuweka mdundiko hawaoi
Unaweza ukawa umekremisha...
Watu ukua...inawezekana Ruge unayemjua wewe si huyu wa sasa...
Ni jambo zuri kama ameamua kutulizana na Zamaradi wake
 
Back
Top Bottom