kotelyimola
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 1,459
- 1,506
Mhe. Jambazi ona na huyu halafu ujue nimetamka nini hapo juuRuge ana akili sana ya biashara.. ila tatizo lake hawezi tofautisha mapenzi na kazi...
hakuna kampuni yoyote inayojielewa inayoweza kuruhusu mtu na bosi wake walio na mahusiano wawe kazini.. hapo zamaradi inabidi asepe maana kuna conflict of interest.
ruge ataweza kumfokea au kumfukuza kazi zamaradi akikosea kazini? na je wafanyakazi wengine wanajisikiaje kuona mwenzao anapendelewa na bosi
Mambo gani ya kudindishana mchanaEeh polee,hapa sio kanisani..nisamehe
Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji..... mwenye share nyingi ni JOH 65% dhidi ya 35% za RUGE...Ruge ni mkurugenzi wa vipindi.
Katika hali iliyoshtua wengi, Mtangazaji wa Clouds Tv , Zamaradi Mketema, ametangaza hadharani juu ya uhusiano wa kimapenzi kati yake na "BOSS" wake Ruge Mutahaba.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zamaradi ameweka picha inayoweka wazi Mahaba ya wawili hao, picha ambayo ilipigwa wako was eneo moja la faragha.
Sambamba na picha hiyo Zamaradi aliandika " Your Mine, I am Yours. And that is Enough. My love " (Wewe ni wangu, Mimi ni wako. Hilo linatosha MPENZI WANGU).
Zamaradi ambae ni Mama wa mtoto mmoja , ameshangaza wengi kwa kuanika mahusiano hayo na "BOSS" wake. Ruge Mutahaba huwa ni mtu msiri sana, hivyo kukubali kuweka wazi mapenzi yake na Zamaradi inaonyesha jinsi gani amezama kwenye penzi la mermaid huyo wa Kitanga.
View attachment 330312 View attachment 330313 View attachment 330312
CEO ni Joseph Kusaga (Joe) na Ruge Mtahaba ni Program Manager (PM) kwa upande wa Clouds FM,Hivi CEO wa clouds media ni RUGE ama KUSAGA?msaada tafadhali maana kuuliza si ujinga.
Wewe unafanya nini hapa? Hao ni celebrities na hili ni jukwaa lao.O ofcoz siyo povu ishu kama hii inatakiwa mkaidiscuss Facebook siyo huku watu makini hawadiscuss personal issues
Now thats sadder... I assure you the lightning that will strike him is still in the gym making push-ups...Karma, they say.In his boyhood he did something terrible to a respected family at the "hill" by impregnating a primary school going daughter of his then foster family. Still a terrible person even in adulthood!!!
Unaweza ukawa umekremisha...Ruge namjuwa hajasettle kwenye mambo ya relations ...naona Binty kasubiri "boss" avunje ukimya hadharani......akaona asijeishia kugeuka Incubator bure.....bora atangaze mwenyewe ......
Haya mambo muoaji Huwa ndio hutakiwa kutangaza.....Ila akichelewa ndio hivyo ..wengine bila kuweka mdundiko hawaoi
Nimeambiwa mmiliki ni Kusaga.Hivi mmiliki wa Clouds ni Kusaga au Ruge?