hahaha mkuu kweli wengine bila mdundiko haoi,ndo mana katika dini ya kislaam kuna ndoa za mkeka, tena kwa ugumu wa wanaume kutopenda kuoa siku hizi binti anawataarifu wazazi wake ndo naenda nikifika ntawatumia sms haraka njoon mtufungishe ndoa ya mkeka,jaman maisha.Ruge namjuwa hajasettle kwenye mambo ya relations ...naona Binty kasubiri "boss" avunje ukimya hadharani......akaona asijeishia kugeuka Incubator bure.....bora atangaze mwenyewe ......
Haya mambo muoaji Huwa ndio hutakiwa kutangaza.....Ila akichelewa ndio hivyo ..wengine bila kuweka mdundiko hawaoi
Dada ulishawahi pigwa hii kitu au unahadithiwa tu vp unafahamu na efrakatah!!?Ha ha ha na hakuna anaetaka kumuacha ndo kwanza wamabeba mimba tu chezea katerero iliyopanda ndege
Unasikia au unamjua kabisa. Kumbe jamaa mi mbovu[emoji3] [emoji13]Nasikia ruge anagegeda hatare ndo maana anagombaniwa
Mimi simjui.samahani sana mkuu unaweza kunitajia ni nani uyo kwa faida ya wasiomjua kama mimi puliiiiz?Halafu yule ndg ana maneno mazuri ya kimungu, tangu niliposikia habar zake huwa sijishughulish tena na vipind vyake, eti Una %100?
Duh!ndugu umetia huruma na pia umeonyesha kuwa muungwana ila katika hii post yako sizungumzii post nyingine yaani gentamycine kama sio weye!umetulia na kuandika kitu kilicho zama katika tafakuri nzito za kila aina ya uungwana na ustaarabu.Hongera kwa post yako hii yaani nakuwa kama siamini vile!Nilishalisema Hili Humu Humu JF Na Rekodi au Ushahidi KUNTU Kabisa Upo Lakini Nilipokea MATUSI Na KASHFA Za Kila Aina Sasa Baada Ya Kuthibitishiwa Hivi NAWAOMBENI WALE WOTE MLIONITUKANA NA KUNIKASHIFU MNIOMBE MSAMAHA a.k.a RADHI Vinginevyo NAMUACHIA Mwenyezi Mungu AWAHUKUMU Mmoja Mmoja. Na Hili Liwe FUNDISHO au FUNZO Kwenu Kuwa Nikija Na UZI NYETI HUMU Mjue Kuwa 99.999% Nina UHAKIKA Nao Na SIJAKURUPUKA. Nasubiri Kwa Hamu SAMAHANI Zenu.
Mhhhhhh shoga nitafuta urafiki na wewe,sio kwa kunitia huku aibu mbea mwenzio NILIYETUKUKA.Mimi simjui.samahani sana mkuu unaweza kunitajia ni nani uyo kwa faida ya wasiomjua kama mimi puliiiiz?
Duh!Kwanza Bi Old thunder sio Mama wa mtoto mmoja na wala sio wa kutoka Tanga a.k.a T.A......Bibie ni Mama wa Watoto wawili na ni Mkigoma huyo.....no research no right to speak..
Pili hizi habari sio mpya sema tu yule Sudi wao kaufyata akitekeleza zile semi zetu za "Ya kwako mmh ya Wenzenu midomo juu" au "Kunya anye kuku akinya Bata..." au " Lake mtu halimtapishi" na kadhalika na kadhalika.
Akikugegeda anaimba nyimbo zote anagusa kila mahali niliisikia hii kutoka kwa bint mmoja ivi alozaa naeNasikia ruge anagegeda hatare ndo maana anagombaniwa
Kwani KUSAGA anaishi Dubai?Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji..... mwenye share nyingi ni JOH 65% dhidi ya 35% za RUGE...
Ila huyo Ruge huwa kuna tuhuma za chinichini kuwa ni mtu wa kitengo pale kwa Wang'oa kucha...
Otherwise ni mfanyabiashara mjanjamjanja kwani ndo mtafta michongo yote ya kampuni huku Joh akisubiri mgao wake huko DUBAI.
Mmmh! Huyo Suddy si muajiriwa wa hapo hapo Clouds? Atathubutu kweli?Suddy Brown aidake na hii
Umeona eeh? Aiseee kwa hili lazima Sudi anyweee. Watamchambaje akijidai kuja na personal data za wengine? Aje tu na style mpya...Kwanza Bi Old thunder sio Mama wa mtoto mmoja na wala sio wa kutoka Tanga a.k.a T.A......Bibie ni Mama wa Watoto wawili na ni Mkigoma huyo.....no research no right to speak..
Pili hizi habari sio mpya sema tu yule Sudi wao kaufyata akitekeleza zile semi zetu za "Ya kwako mmh ya Wenzenu midomo juu" au "Kunya anye kuku akinya Bata..." au " Lake mtu halimtapishi" na kadhalika na kadhalika.
Maskini Zama, atashindana na wangapi sasa. Ruge mwenyewe nasikia ni donor, hana hiyana linapokuja swala la kuzalisha wanawakeKisa cha kuweka wazi uhusiano kuna kabint Kanatishia kupindua Serikali ya Zama na kinanata na kujitapa na tetesi ikawa Zama amemwagwa nadhan anawaprove wrong wabaya wake
Walahi nimecheka kwa sauti. Mweeee! Vibwengo tena?ila wamefanana jamani, wote wana sura kama vibwengo
aaaah kwani uongo binamuWalahi nimecheka kwa sauti. Mweeee! Vibwengo tena?
Watu wana moyo jamani?Akikugegeda anaimba nyimbo zote anagusa kila mahali niliisikia hii kutoka kwa bint mmoja ivi alozaa nae
Ha ha ha nyimbo za saida karoli anaimba zoteAkikugegeda anaimba nyimbo zote anagusa kila mahali niliisikia hii kutoka kwa bint mmoja ivi alozaa nae
Watu wana moyo jamani?
Mie sijui nikoje?
Mimi mtu mwenye historia kama zake na fununu zile wallah hata iweje siwezi kubali........
In short wakaka wa mujini nawaogopa mnoooo!
Heri yao wenzetu.
Wakiongozwa Na Mmoja Anayejifanya Ni MLOKOLE Na Mwenye Maneno Ya Kiroho Hivi. Sometimes Pia Husoma News Bulletin Na Hupenda Kuweka " O " Katika Kidevu Chake. Kwake Ni Mbezi Beach Mkabala Na Massana Hospital. Huyu Nina UHAKIKA Nae Kwa 100% Kwani Dereva Wake Na Waandishi Wenzake Wamenithibitishia Hilo Lakini Hata Clouds Wenyewe Wanalijua Hilo Na Wakibisha Watakuwa WANATAKA TU KUYEYUSHA. Wapo Wengine Kama 3 Hapo Hapo. Ewe Mwenyezi Mungu Tusaidie Kizazi Hiki Na Madhila Haya.