othiambo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2014
- 1,995
- 2,795
hahaha mkuu kweli wengine bila mdundiko haoi,ndo mana katika dini ya kislaam kuna ndoa za mkeka, tena kwa ugumu wa wanaume kutopenda kuoa siku hizi binti anawataarifu wazazi wake ndo naenda nikifika ntawatumia sms haraka njoon mtufungishe ndoa ya mkeka,jaman maisha.Ruge namjuwa hajasettle kwenye mambo ya relations ...naona Binty kasubiri "boss" avunje ukimya hadharani......akaona asijeishia kugeuka Incubator bure.....bora atangaze mwenyewe ......
Haya mambo muoaji Huwa ndio hutakiwa kutangaza.....Ila akichelewa ndio hivyo ..wengine bila kuweka mdundiko hawaoi