Zamaradi Mketema ndani ya Clouds360 on Clouds TV,February 21.

Zamaradi Mketema ndani ya Clouds360 on Clouds TV,February 21.

princemikazo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
2,195
Reaction score
2,056
Aliekua Mpenzi wa Ruge Mutahaba ambae pia ni mzazi mwenzake,Zamaradi Mketema ambae amewahi pia kuwa mtangazaji pale Clouds Media Group(CMG)

katika kipindi cha Take One kilichokua kikiruka Clouds TV,February 21 atakua live kupitia Clouds360 na Powerbreakfast pia,

kuanzia mishale ya Saa1asubuhi hadi saa4,,swali ni anaenda kuongelea kuhusu kipi?..Let's Wait and see.. @ChaliiYaKijengeJuu.
 

Attachments

  • zamaradi.jpg
    zamaradi.jpg
    20.5 KB · Views: 146
Katika watu waliosababisha maradhi ya Ruge huyu Zamaradi pia ni mmoja wao,stress za mapenzi ni zaidi ya sumu zinaua fasta sana.
Na kumrekodi akamrekodi Baba wa watu anambembeleza na kilio juu ili kumuaibisha. Leo amekuwa mshauri Insta. Sijui uwa anaandika nini na makala zake ndefu. Alinikwaza sana. Alishindwa kuwa na Busara akamove on kimya kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaelewa Stress unaweza kupata magojwa zaidi ya kuumwa hiyo Figo? Stress za mapenzi ni Mbaya Mkuu... Mimi Jamaa yangu wa karibu aliwahi kupata Ugonjwa wa ajabu sababu ya Mapenzi.... Mapenzi Shikamoo
umeshaambiwa ruge anaumwa figo.
sasa Maradhi ya figo na stress za mapenzi wapi na wapi?
acha kuhamisha magoli

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeshaambiwa ruge anaumwa figo.
sasa Maradhi ya figo na stress za mapenzi wapi na wapi?
acha kuhamisha magoli

Sent using Jamii Forums mobile app
Incase hujui kufeli kwa figo kunasababishwa na mambo gani....chukua hii mojawapo stress au msongo wa mawazo hupelekea presha,presha pia inaweza kupelekea figo kufeli.....usiwe unakesha tu instagram uwe unaperuzi ili kupata elimu ya mambo mengi duniani bwashee!
 
Back
Top Bottom