Zamaradi Mketema ndani ya Clouds360 on Clouds TV,February 21.

Zamaradi Mketema ndani ya Clouds360 on Clouds TV,February 21.

Hivi unazijua vizuri stress au umejibu tu mkuu kishabiki " ...... stress huwa zina teteresha kinga za mwili na kuzifanya ziwe weak " kinga za mwili zinapo tetereka zinakuwa zimetoa fursa kwa magonjwa kuweza kuushambulia mwili yatakavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshamba huyo hajui stress ni mzizi wa magonjwa mengi sana yanayoanzia kwenye ubongo. Ubongo ni control box ya viungo vyote, ikiathiriwa itafanya mwili u release toxins zinazoua ufanisi wa viungo vingine.
 
Na kumrekodi akamrekodi Baba wa watu anambembeleza na kilio juu ili kumuaibisha. Leo amekuwa mshauri Insta. Sijui uwa anaandika nini na makala zake ndefu. Alinikwaza sana. Alishindwa kuwa na Busara akamove on kimya kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli zama alimpenda na kumvumilia sana ,alifanyiwa mambo mangapi na bwana yule na alikuwa hataki ata kuweka wazi mahusiano yao,mi naona bora zama alivyoamua ku move on na ndo bwana alipo ona umuhimu wa zama,ifike kipindi tujue thamani zetu tuache kuendekeza mapenzi yasiyokuwa na tija
 
Kweli kabisa ...ukiona Hadi wanapost kitu ujue wana baraka zote kutoka kwa boss wao...rejea ile clip ya yule dada aliyejifanya kuzaa na gwajima ..walimrekodi lakini hawakuirusha kwa sababu walipoifikisha kwa boss akawakataza
Ni kama Shigongo na migazeti yake.
 
Nimemaliza kuangalia interview ya Zamaeadi..nimeamua kuconclude hivi..Zama aliolewa lakini moyo wake ulikuwa bado uko kwa Ruge
Ndio madhara ya kuoa single mother wew siku anaongea unazani jamaa yake atakua anajisikiaje
 
umeshaambiwa ruge anaumwa figo.
sasa Maradhi ya figo na stress za mapenzi wapi na wapi?
acha kuhamisha magoli

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu , stress ni chanzo cha magonjwa hatari ambayo huwezi kufikiri , Stress inapelekea tatizo la high blood pressure (presha ya juu ya kupanda) , high blood pressure inapelekea kidney failure (figo kufeli) , Figo kufeli kufanya kazi inapelekea heart failure( moyo kufeli)

NB :

Stress ni moja ya matatizo yasiyopewa kipaumbele lakini yanagharimu maisha ya watu wengi katika Zama hizi

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
@mjingamimi unaweza kuuliza swali lolote kuhusiana Na maelezo hapo juu, Kwa nyongeza pia ieleweke stress inaweza kupelekea magonjwa ya akili (psychiatric disorders)

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom