Zamaradi Mketema ndani ya Clouds360 on Clouds TV,February 21.

Zamaradi Mketema ndani ya Clouds360 on Clouds TV,February 21.

Aliekua Mpenzi wa Ruge Mutahaba ambae pia ni mzazi mwenzake,Zamaradi Mketema ambae amewahi pia kuwa mtangazaji pale Clouds Media Group(CMG)

katika kipindi cha Take One kilichokua kikiruka Clouds TV,February 21 atakua live kupitia Clouds360 na Powerbreakfast pia,

kuanzia mishale ya Saa1asubuhi hadi saa4,,swali ni anaenda kuongelea kuhusu kipi?..Let's Wait and see.. @ChaliiYaKijengeJuu.
Kwani alisema nini?

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
trust me diamond hagusi pale tena! walichomfanyia wanajua. Yani wamtumie Diamond kwenye shida zao ila kwenye shida zake binafsi wanamuwekea vikwazo aisee.
Diamond ana roho mbaya sana,kashindwa kumshika mkono baba yake aje amsaidie Ruge?,
 
Back
Top Bottom