Prisoner of hope
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 2,440
- 2,572
Ndugu yangu asikudanganye mtu. Maisha ya mahusiano ya kimapenzi ni muunganiko wa moyo na nafsi.Nimemaliza kuangalia interview ya Zamaeadi..nimeamua kuconclude hivi..Zama aliolewa lakini moyo wake ulikuwa bado uko kwa Ruge
Sometimes huwa tunajipa viburi vya kumove on....but nafsi zetu huwa zinabakia kwa max wetu, na hii yote inatokana na memorable good things walivyofanya wakiwa kwenye good time yao.
Ndio maana unakuta mtu aliyebreak up mahusiano yake, mara nyingi anakuwa ni mtu wa kuangaika mara leo huyu, kesho yule n.k. maana kila anayekaa naye, bado anafeel kuna kitu anakosa. Na ndio maana sio ajabu now days, kumkuta mtu kaolewa/kuoa ila bado anapasha viporo na x wake.
HUO NDIO UKWELI...
Sent using Jamii Forums mobile app