princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
Katika watu waliosababisha maradhi ya Ruge huyu Zamaradi pia ni mmoja wao,stress za mapenzi ni zaidi ya sumu zinaua fasta sana.
Diamond hatokuja msaidia rugeDiamond akimsaidia ruge na akashindwa kumsaidia baba yake...
Hatoamini siku dunia ikimgeuka...
Kwa nn??????Diamond hatokuja msaidia ruge
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Na kumrekodi akamrekodi Baba wa watu anambembeleza na kilio juu ili kumuaibisha. Leo amekuwa mshauri Insta. Sijui uwa anaandika nini na makala zake ndefu. Alinikwaza sana. Alishindwa kuwa na Busara akamove on kimya kimya.Katika watu waliosababisha maradhi ya Ruge huyu Zamaradi pia ni mmoja wao,stress za mapenzi ni zaidi ya sumu zinaua fasta sana.
umeshaambiwa ruge anaumwa figo.
sasa Maradhi ya figo na stress za mapenzi wapi na wapi?
acha kuhamisha magoli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu clouds hakuna wanachoshindwa huyo diamond ataenda mwenyewe !kama nawaona vile wakimshawishi lady jay dee aende kutoa neno pamoja na diamond aisee. na hao watu hawajawahi hata kumpost ruge hata siku moja. Patamu hapo!!!
Mkuu clouds hakuna wanachoshindwa huyo diamond ataenda mwenyewe !
Anajua ruge aliko mtoa.
Incase hujui kufeli kwa figo kunasababishwa na mambo gani....chukua hii mojawapo stress au msongo wa mawazo hupelekea presha,presha pia inaweza kupelekea figo kufeli.....usiwe unakesha tu instagram uwe unaperuzi ili kupata elimu ya mambo mengi duniani bwashee!umeshaambiwa ruge anaumwa figo.
sasa Maradhi ya figo na stress za mapenzi wapi na wapi?
acha kuhamisha magoli
Sent using Jamii Forums mobile app
Incase hujui kufeli kwa figo kunasababisha na mambo gani....chukua hii stress au msongo wa mawazo hupelekea presha presha hupelekea figo kufeli.....usiwe mbumbumbu kiasi hicho bwashee
incidence....time factor.....dots connection....experience.....impact of broken heart.....by the way nimesema mmoja wa waliosababisha kuumwa kwa Ruge....that means wapo are more others