Zamaradi Mketema ndani ya Clouds360 on Clouds TV,February 21.

Aliyeona kipindi atuambie zama kaongea nini, pia majizo nae alienda kwa aliyeona pia atuambie

Wamesema jamaa ni mtu mzuri ambae hawajawahi kuona mfano wake hapa duniani.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Diamond akimsaidia ruge na akashindwa kumsaidia baba yake...

Hatoamini siku dunia ikimgeuka...
Dunia ikimgeuka ndo babake atamsaidia?asipomsaidia ndo itakuwa Mara ya kwanza?
 
C

shilawadu hawawezi kupost kitu bila idhini ya ruge..so Ruge aliwapa go ahead. Zama wa watu kamficha mumewe wao wakampost na maneno juu..wiki nzima wanamwandama
Kweli kabisa ...ukiona Hadi wanapost kitu ujue wana baraka zote kutoka kwa boss wao...rejea ile clip ya yule dada aliyejifanya kuzaa na gwajima ..walimrekodi lakini hawakuirusha kwa sababu walipoifikisha kwa boss akawakataza
 
Unaelewa Stress unaweza kupata magojwa zaidi ya kuumwa hiyo Figo? Stress za mapenzi ni Mbaya Mkuu... Mimi Jamaa yangu wa karibu aliwahi kupata Ugonjwa wa ajabu sababu ya Mapenzi.... Mapenzi Shikamoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi kabisa
Zama azungumze na mzazi mwenzie aseme neno moja kwake na roho yake itapona
 
Yeah
 

Attachments

  • Seba na majay.jpg
    18.8 KB · Views: 43
Hakuna ugonjwa mbaya hapa duniani kama Stress...Ni hivyo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…