Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Kuna ishu nimeona kuhusu Zamaradi kuna mfanyakzi wake mmoja ambaye ni director wa vipindi mojawapo ni the gram.
Anaitwa Meggy analalamika hajalipwa pesa yake miezi 24 sasa sawa na million 19. Anayoidai Zamaradi TV.
Nimeona kwa Mange Kimambi amepost screen za chatting kati ya Meggy na Zamaradi.
Jamaa aliishiwa kabisa mpaka kuuza laptop ya office ili apate pesa ya kujikimu.
Lakini mwishowe Zamaradi na mume wake walimdai laptop ya ofisi angali wao wanadaiwa milioni 19.
Watu wengi walishangaa jamaa alipoomba Tsh 200k kwa Zamaradi na kumwambia sina.
Ni utani au.
Huyu dada namuona maeneo ya BOKO chama kwetu huku na Range rover vogue yake. Ni mtu wa maisha yake fresh.
Si vizuri kuacha kampuni kuwa na madeni hivi, sasa madeni yakiwa mengi kulipa inakuwa shida sana baadae.