funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
Inawezekana Ndg, sio tu miaka miwili hata miaka mitano. Kwenye biashara kuna kuanza, kukua, kukomaa na kuanguka. Miaka miwili inawezekana wako kwenye kipindi cha kukua ambapo wanatumia fedha nyingi kuliko zinazoingia.Kwa hio TV kwa muda wa 2 years haingizi kitu???
Na approach aliyotumia huyo kijana ya kumtangaza Boss wake hadharani kwa kuweka msg sio ya kiungwana kabisa. Kama amedhulumiwa kuna njia za kupita za kiungwana au za kisheria. Kumtangaza kwenye mitandao kwa waajiri wengine anajizibia