Zamaradi Mketema wa kukosa Tsh 200,000/= kweli. Malipo kwa wafanyakazi

Zamaradi Mketema wa kukosa Tsh 200,000/= kweli. Malipo kwa wafanyakazi

Kuna ishu nimeona kuhusu zamaradi kuna mfanyakzi wake mmoja ambaye ni director wa vipindi mojawapo ni the gram.

Anaitwa meggy analalamika ajalipwa pesa yake miezi 24 sasa sawa na million 19. Anayoidai Zamaradi TV.

Nimeona kwa Mange kimambi amepost screen za chatting kati ya meggy na zamaradi.

Jamaa aliishiwa kabisa mpk kuuza laptop ya office ili apate pesa ya kujikimu.

Lkn mwishowe zamaradi na mume wake walimdai laptop ya ofisi angali wao wanadaiwa million 19.

Watu wengi walishangaa jamaa alipoomba Tsh 200k kwa zamaradi na kumwambia sina.
Ni utani au.

Huyu dada namuona maeneo ya BOKO chama kwetu huku na Range rover vogue yake. Ni mtu wa maisha yake fresh.

Si vizuri kuacha kampuni kuwa na madeni ivi sasa madeni yakiwa mengi kulipa inakuwa shida sana baadae.
View attachment 2741827View attachment 2741828View attachment 2741829
Wabongo bhana mnapenda maneno ya kuambiwa bila evidence 😀😀acheni kuangaika na vitu visivyo na faida ,je kama jamaa alikuwa anajitumia meseji na kujijibu ,
 
Siku hizi watu wakiwa wanataka haki ya madai wanaenda kupeleka malalamiko kwa Mange badala ya mahakamani? [emoji15]
Kiongozi mm pia nimeshangaa kweli kuhusu jambo hili. Pia kwa kijana ambae bado anataka kuajiliwa kumtangazia hv mwajili wake katengeneza changamoto kwenye hajira zake z baadae.
 
Sijaelewa...
Weka maelezo yakutosha bana
RUGE alimpigia simu zamaradi akiwa anambembeleza asimuache,anampenda, Zama kipindi anaolewa na SHABANI,kumbe alikua anamrekodi bwana ,baadae zile VN zikatumwa kwa Mange kimambi the way JASIRI alivokua analilia penzi la Zama mpk RUGE alimuita mission town SHABANI ...zilitrend ila sio vilee kw KUA JASIRI alikua mtu wa watu sana...mpk BABA JONII akamponda sana Zama
 
RUGE alimpigia simu zamaradi akiwa anambembeleza asimuache,anampenda, Zama kipindi anaolewa na SHABANI,kumbe alikua anamrekodi bwana ,baadae zile VN zikatumwa kwa Mange kimambi the way JASIRI alivokua analilia penzi la Zama mpk RUGE alimuita mission town SHABANI ...zilitrend ila sio vilee kw KUA JASIRI alikua mtu wa watu sana...mpk BABA JONII akamponda sana Zama
Duh!Asante kwa taarifa.
 
Waje tutaenda nao sambamba tu waache unaafiki
Zamaradi huyu alifanya tuone mabebi zote msingi kende tu Kwa kumuweka Kwa mabango mmewe na Bado haitoshi,kadanganya kannuliwa range na mmewe kumbe bwana kauza nyumba..nyie nyie☺️☺️🙌🙌🙌maisha ya 🙌 mtandaoni mabaya sana...!!!mpk kampuni anamsifu mmewe this mmewe that tukitongozwa tunataka waume kama waroli modo wetu au tunawaona waume zetu kama nguruwee vile...chaaa...kumbe mikopo ya mabenki hukoo,wanauza majumba kufurahisha walimwengu..hii Dunia hii acha kabisaaaa
Nikikumbuka diva alivyokuwa anafake mapenzi na mganga wake na kilichokuja kujiri baadae Sina hamu na macelebriti wa bongo
 
Unaweza kumlaumu Zamaradi kumbe labda kijana na yeye ni mshenzi. Mimi kuna kipindi nilisafiri na kuwaacha vijana ofisini sikukaa muda mrefu ila nikapewa taarifa vijana wameuza computer na baadhi ya vitu vingine kihuni. Bahati nzuri hawakujua kama waliyemuuzia ni rafiki yangu. Nilipowabana vijana wakajitetea walikuwa wananidai. Nikawajibu kama walikuwa wananidai si kuna taratibu zake ikiwemo kunipeleka polisi? Huyo kijana kuweka bond mali ya mtu ni upumbavu. Kama alikuwa na mkataba wa kazi angefuata sheria kupata haki yake. Katika hii ishu tuwe neutral hadi pale kesi itakapotolewa hukumu mahakamani kwasababu vijana nao ni wapuuzi.
 
Hapa sitaki kuongelea nani yuko sahihi au hapana ila nachukulia hili kama funzo, matatizo ya watu tuchukulie wapi unaweza kujifunza. Mimi na mambo mawili makuu labda.
1- Tuwe makini sana tunaandikiana nini? na nani? na mambo gani ya kuandika na yapi kutoandika. Najuwa wako watu wana record hata maongezi kwa siri, kikubwa kuzuia mambo kama haya yako mambo usikubali kuyaongelea kwenye chat au kwenye simu hasa mambo sensitive, unaweza kuwa face to face na uwe makini unaongea nini. tujifunze kusikiliza sana kuliko kuongea na majibu yawe mafupi lakini sio yawazi hasa kwa watu wakupita yaani usifunguke sana. Tusikilize sana na kuongea kidogo.
2- Kwa mtu yoyote anayedai hasa pesa nyingi kama hiyo ni lazima kuwe na documents ya makubaliano na njia kuu ni kwenda mahakamani kudai haki yako, ila kwenda kudai kwenye mitandandao hii ni uswahili sana, either hana uhakika na anachodai na kukosa kujiamini.

Kubwa maisha ya mitandaoni inapotosha sana watu, haina uhalisia.
 
Huwa nasema ukiwa na madai achana na habari za kulalamika kwenye medias bali nenda Mahakamani ukiona maiza uza na huko ndio uende kwenye media sasa.

Yaani media ni maeneo ya mwishoni kabisa kwenye kudai haki yako, mara nyingine watu wa kukusaidia wanaweza wakaona.labda ni fitna za kibiashara au mjini wakakupuuzia, ila ukienda kwenye media ukaonesha umepita Mahakamani napo unaona maiza uza ndio unalalamika kidooogo utaeleweka japo sio sawa napi

Mauza uza yapo ila yana ukomo wake kuna ngazi hauwezi ukayakuta kabisa ni wewe tu uwe na focus na jambo lako.

Haya kaenda ku attack watu kwenye media wao waende kumshtaki kw kuwachafua then washinde aseme aliajiriwa ikutwe aliajiriwa na kampuni aambiwe akashtaki sehemu sahihi aende ashinde mara waliochafuliwa wakakaze hukumu yao, wachukue decree aliyopewa yeye kama mali ya mdaiwa, pengine isitoshe arudi pale pale. Ni ngumu kuelewa ila ni jambo linawezekana sana.

Tuwe makini kwenye kudai haki zetu tusivunje haki za wengine. Zaidi zaidi tutafute wataalamu wa sheria, tuache mazoea.
 
Mnoooo....na sas hv wengi mastaaa washashtuka wanaishi nae kimachale
Toka afake kupitia kununuliwa Gari, kumbe wameuza nyumba, ndo hata sitaki kumfatilia tenaaa.
Namuona km kina giggy tyuuh, bila kiki hana issue mjini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom