Zamaradi Mketema wa kukosa Tsh 200,000/= kweli. Malipo kwa wafanyakazi

Zamaradi Mketema wa kukosa Tsh 200,000/= kweli. Malipo kwa wafanyakazi

Huwa nasema ukiwa na madai achana na habari za kulalamika kwenye medias bali nenda Mahakamani ukiona maiza uza na huko ndio uende kwenye media sasa.

Yaani media ni maeneo ya mwishoni kabisa kwenye kudai haki yako, mara nyingine watu wa kukusaidia wanaweza wakaona.labda ni fitna za kibiashara au mjini wakakupuuzia, ila ukienda kwenye media ukaonesha umepita Mahakamani napo unaona maiza uza ndio unalalamika kidooogo utaeleweka japo sio sawa napi

Mauza uza yapo ila yana ukomo wake kuna ngazi hauwezi ukayakuta kabisa ni wewe tu uwe na focus na jambo lako.

Haya kaenda ku attack watu kwenye media wao waende kumshtaki kw kuwachafua then washinde aseme aliajiriwa ikutwe aliajiriwa na kampuni aambiwe akashtaki sehemu sahihi aende ashinde mara waliochafuliwa wakakaze hukumu yao, wachukue decree aliyopewa yeye kama mali ya mdaiwa, pengine isitoshe arudi pale pale. Ni ngumu kuelewa ila ni jambo linawezekana sana.

Tuwe makini kwenye kudai haki zetu tusivunje haki za wengine. Zaidi zaidi tutafute wataalamu wa sheria, tuache mazoea.
Hivi kwa influence aliye nayo Zamaradi na mjomba wa majaliwa unategemea unaweza simamisha kesi dhidi yao na ukashinda ikiwa Waziri atapiga simu moja hapo Oysterbay?
 
Kaangalie kweny viwanda vya wahindi na kampuni watu wanavyoteseka huo usomi weka pembeni.
Ukweli ukikosa mkataba unaweza kufukuzwa na kunyanyasika mda wowote na bado muajiri akawa na kinga ya sheria .
  • Kinga gani ya kisheria? Yaani asikulipe mshahara halafu awe na Kinga ya kisheria?
  • akikufukuza kazi kinyume cha utaratibu nenda CMA (Mahakama ya kazi )
 
  • Kinga gani ya kisheria? Yaani asikulipe mshahara halafu awe na Kinga ya kisheria?
  • akikufukuza kazi kinyume cha utaratibu nenda CMA (Mahakama ya kazi )
Hauna mkataba mzee labda kama ushahidi wa maandishi pembeni.

Hivi viwanda visingetesa watu kiasi hiki.
 
Watu wa Kigoma asili Yao ni roho mbaya(mnisamehe wenye mkoa wenu)wakatili,wanafiki na roho kubwa...!!!jinsi alivyodhalilisha ila Kwa hili la meggy wamejua uhalisia wake sisi wengine tunamjua kitambo ilikua ni suala la muda tu,enzi Yuko Clouds kile kipindi chake Cha kuhoji mastaa idea ilikua ya Irene Paul ye Kwa kua alikua chakula ya boss wakamkatia denge akakichukua yeye!!enzi zile Yuko close na WCB akaandaa nadhani arobaini ya mwanawe akampa oda Mobetostyle amshonee wamebuni mshono akapeleka kungine wamshonee dkk za mwishoni kabisaa,Halafu shilole akaulia Kwa nguvu"usiniambie kale katoto ndo kamekushonea hivi",Kila kizuri anataka awe nacho yeye,Idea ya kitabu ya mtoto wa Faiza ,masikini WA Watu kaenda kuongea nae akambidi Tena kaibeba kampa mwanawe..Leo anajitilisha huruma huruma tu Hayo tunayoyajua,tusojayajua ni mengi
Ila mmewe nimempenda na biti balaa la kiume Lile la kuheshimisha yaani☺️☺️☺️☺️☺️
Hata Dina Marios aliwahi kumlalamikia, kipindi ameenda likizo ya kujifungua akamfanyia figusu kurudi anakuta kipindi kapokonywa, anaambiwa unaenda kwa TV, akasubiri weeh hicho kipindi cha tv apewe wapi! Akaamua kujiongeza na kwenda EFM.
Kipindi hicho yeye ndio mama boss Ruge.
 
Halafu kuna watu rôlemodel wao.Yaani mtu kafika hapo alipo kwa kumseduise Ruge,akampa K mpaka akabeba mimba,akazaa .Ruge akampa maisha .Ndo leo eti anaonekana mchakarikaji.
 
Hauna mkataba mzee labda kama ushahidi wa maandishi pembeni.

Hivi viwanda visingetesa watu kiasi hiki.
- inaonekana hujui sheria za kazi, kwenye sheria ya Labour institutions Act kuna vigezo vimewekwa ambavyo vikitimia tu huyo ni mwajiriwa hata kama hamjaandikiana, mfano mtu akiwa anafanya kazi kwa mtu mwingine kwa maelekezo ya huyo mtu including muda wa kuingia kazini, masaa ya kazi, kingine mtu huyo akiwa anapewa vifaa vya kazi, akiwa amefanya kazi kwa masaa si chini ya saa45 kwa kipindi cha miezi mitatu nk
-Kasome Kesi ya Director of usafirishaji africa vs Hamis Mwakabala na wenzake.
 
Haki zipo kisheria ila sio kiutendaji naongelea uhalisia sio sheria iliyopo kwenu makaratasi ambayo hata wafanyakazi hawaijui...
 
" Is deemed to be an employee by the Minister under Section 98(3)", Unaelewa Nini hayo maneno ambayo nimeyatoa kwenye sheria ya ajira na mahusiano kazini.
Mimi naongelea uhalisia sio sheria ambazo zipo zipo tu na hazifanyi kazi ,kaangalie watu wanaofanya kazi viwandani ,watu wanaofanya kazi mshamba hata madereza...

Sheria ni too general inacover yeyote yule anaonekana ni mfanyakazi (amekizi vigezo vya kazi na anafanya kazi halali kigezo cha umri ,masaa husika na vingine) wizara inaweza kumtambuw kama mfanyakazi kisheria ..

Ila ukienda mateso ya watu kweny uhalsiia ni mengi ukiwa hauna mkataba.
 
Ata wewe kujua hii Habari ni tabia ya kike hizo.
Nawasiwasi na marinda unaweza ukawa huna.
Unatuletea habari za kike hapa, huna kazi za kufanya mwanaume unakuaje mmbea? Kama hukutaka kuzaliwa mwanaume si useme wahuni tukukamie
 
Hata Dina Marios aliwahi kumlalamikia, kipindi ameenda likizo ya kujifungua akamfanyia figusu kurudi anakuta kipindi kapokonywa, anaambiwa unaenda kwa TV, akasubiri weeh hicho kipindi cha tv apewe wapi! Akaamua kujiongeza na kwenda EFM.
Kipindi hicho yeye ndio mama boss Ruge.
Leo anadhalilika mbaya nimeanza kumuonea huruma halafu☺️☺️☺️☺️maana mange kakichafua Tena instaa

Nimegundua ubaya una tabia ya kurudi mara 100000 asee...!!!hivi vitu kumbe vipo kweli jamani
Zama WA kudhalilika hivi
Mweee
 
Halafu kuna watu rôlemodel wao.Yaani mtu kafika hapo alipo kwa kumseduise Ruge,akampa K mpaka akabeba mimba,akazaa .Ruge akampa maisha .Ndo leo eti anaonekana mchakarikaji.
Ila Vicky 🙌🙌🙌🙌☺️☺️role model wa watu bwana!!!smart woman,akaja kuvujisha VN za ruge anaomba Msamaha!!!
Akatakaga kujoin na WCB Ili tu amuumize Ruge nadhani Kusaga alikataa asiingie Zama maana ingekua fitna kubwa ukifikiria Ruge alikua rafiki yake na boss pale clouds Ndo akaandeleza U tube yake
 
Leo anadhalilika mbaya nimeanza kumuonea huruma halafu☺️☺️☺️☺️maana mange kakichafua Tena instaa

Nimegundua ubaya una tabia ya kurudi mara 100000 asee...!!!hivi vitu kumbe vipo kweli jamani
Zama WA kudhalilika hivi
Mweee
Mange Hana urafiki, Kama sio yeye aliyemtetea kipindi kile anatangazwa kaolewa na mission town
 
Mnatuchanganya si mlisema TV siyo yake ana Share zake tu hapo [emoji31]
 
Back
Top Bottom