Zamaradi Mketema wa kukosa Tsh 200,000/= kweli. Malipo kwa wafanyakazi

Kutokumpa mtu mkataba ni kutaka kumnyima haki zake kisheria ,wengi wanatumia huu mfumo kwa kinga za kisheria maana kama mkataba haupo akienda polisi hautomfunga kwa namna yeyote kama wahindi wanavyonyasa wafanyakazi kwa mtindo huu.

Jamaa sio kwamba hana akili mpaka akaexpose hizo chatting ,kuna mengi na haki ya mtu kudhulumiwa mpaka roho inauma yaani hauna jinsi ukiangalia labda mwanamke (boss wake) ana pesa na kinga za kisheria bora kumuharibia watu wajue madhambi yake.

Ubaya ubaya maboss wengi ni kichefuchefu ,hata sasa tunaoa washkaji wanapiga mishe kwa watu binafsi ikifika mwisho wa mwezi msharaha inakuwa kama wanaomba , sometimes wanapewa pesa pungufu kwa vile hawana mikataba....Usishangae mtu anafanya kazi ila anaomba pesa ni kwamba malipo hapati katk muda husika.
  • hata kama mtu Hana mkataba, kisheria anazo haki anazostahili mfano mshahara
  • kwenye sheria ya taasisi za kazi, kuna kitu kinaitwa Presumption of an employee
 
Kaangalie kweny viwanda vya wahindi na kampuni watu wanavyoteseka huo usomi weka pembeni.
Ukweli ukikosa mkataba unaweza kufukuzwa na kunyanyasika mda wowote na bado muajiri akawa na kinga ya sheria .
 
Ila Zama sijui yukoje, mbna ana roho mbaya hivyo khaaaah
Watu wa Kigoma asili Yao ni roho mbaya(mnisamehe wenye mkoa wenu)wakatili,wanafiki na roho kubwa...!!!jinsi alivyodhalilisha ila Kwa hili la meggy wamejua uhalisia wake sisi wengine tunamjua kitambo ilikua ni suala la muda tu,enzi Yuko Clouds kile kipindi chake Cha kuhoji mastaa idea ilikua ya Irene Paul ye Kwa kua alikua chakula ya boss wakamkatia denge akakichukua yeye!!enzi zile Yuko close na WCB akaandaa nadhani arobaini ya mwanawe akampa oda Mobetostyle amshonee wamebuni mshono akapeleka kungine wamshonee dkk za mwishoni kabisaa,Halafu shilole akaulia Kwa nguvu"usiniambie kale katoto ndo kamekushonea hivi",Kila kizuri anataka awe nacho yeye,Idea ya kitabu ya mtoto wa Faiza ,masikini WA Watu kaenda kuongea nae akambidi Tena kaibeba kampa mwanawe..Leo anajitilisha huruma huruma tu Hayo tunayoyajua,tusojayajua ni mengi
Ila mmewe nimempenda na biti balaa la kiume Lile la kuheshimisha yaani☺️☺️☺️☺️☺️
 
Mtoto wa faiza ndo kile kitabu idea ilikuwa yake sasa ilikuwaje.
Mpk zama akachukua idea.
 
Zama atakua na roho mbaya kweli mana hata tuliwahi kusoma humu jf alihusika na kufukuzwa kazi dina marios,
Anajificha kwenye kivuli cha mtu mstaarab na yale magazeti yake anayoandika instagram ilhali ndani hafai!
Yule ni mtusi, wale ni watu hatari sana. Na wanapata utajiri/maendeleo kupitia kukandamiza wengine. Refer Jackie Ntuyabaliwe Mengi.
Zama nae kapata pesa kupitia Ruge.
 
Kapata kupitia ruge ila kapoteza kupitia shabani,maana nimeona mange kasema kauza nyumba alojengewa na ruge akanunua range alafu iliyobaki kamfungulia shabani ofisi
Na nyumba iliyobaki katumia kuweka dhamana crdb bank kapewa mkopo kafungua hiyo tv yake ambayo halipi wafanyakazi
Kama ni kweli anastahili kuonewa huruma,mwanaume sio wa kumlia yamini over your own kids!
 
Yule mjinga sana na hana akili,yaani anauza Asset na ananunua gari(liability)ili kuwaonyeshea wana instagram.Halafu anadanganya kanunuliwa na Shaban.Imagine kuweka rehan nyumba ya watoto wake aliyojenga Ruge. Ruge mwenyewe hayupo tena. Zama hana akili kabisa.
 
binafsi kukosa au kupata kwa zamaradi, sioni kama ni issue, issue hapa ni kijana wa majaliwa, kwanini siku zote anatumia naasi ya mjobawake kunyanyasa vijana wadogo, mnakumbuka kipindi kile ametishia mtu na bastole? hivi huyo hajawahi kukutana na mbabe wake apigwe mbata mbele ya mkewe huyo? ni kijana wa hovyo sana kiukweli. na anamchafua sana majaliwa.
 
Mwisho wa mwezi zinaanza risala 🤣 mpaka hela itoke tarehe 35
Kutokumpa mtu mkataba ni kutaka kumnyima haki zake kisheria ,wengi wanatumia huu mfumo kwa kinga za kisheria maana kama mkataba haupo akienda polisi hautomfunga kwa namna yeyote kama wahindi wanavyonyasa wafanyakazi kwa mtindo huu.

Jamaa sio kwamba hana akili mpaka akaexpose hizo chatting ,kuna mengi na haki ya mtu kudhulumiwa mpaka roho inauma yaani hauna jinsi ukiangalia labda mwanamke (boss wake) ana pesa na kinga za kisheria bora kumuharibia watu wajue madhambi yake.

Ubaya ubaya maboss wengi ni kichefuchefu ,hata sasa tunaoa washkaji wanapiga mishe kwa watu binafsi ikifika mwisho wa mwezi msharaha inakuwa kama wanaomba , sometimes wanapewa pesa pungufu kwa vile hawana mikataba....Usishangae mtu anafanya kazi ila anaomba pesa ni kwamba malipo hapati katk muda husika.
 
Hivi kwa influence aliye nayo Zamaradi na mjomba wa majaliwa unategemea unaweza simamisha kesi dhidi yao na ukashinda ikiwa Waziri atapiga simu moja hapo Oysterbay?
 
Back
Top Bottom