LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Nimjuavyo Dada Zamaradi Mketema Classmate wangu SAUT Mwanza Darasa letu la BAMC 2006 - 2009 ( japo hakuendelea tena Kusoma ) na Kujikita na Business Deals zake zingine si Mtu Mswahili na Mpuuzi wa Kushindwa Kumlipa huyo Mtu hiyo Pesa.
Sometimes ukiwa Tajiri au na Mafanikio ya Kimaisha Maadui zake hupendi Kukuharibia kupitia Watu wako wa Karibu wakiamini kwa Upumbavu ( Upopoma ) Wao kuwa Watakushusha wakati kumbe ndiyo wanazidi Kukupaisha tu Kiumaarufu.
Eti classmate . Ushawahi Sikia wapi mtu ana mu address classmate wake kwa jina la " dada fulani"?
Sema tu ukweli mkuu ulisoma Butimba TTC sio SAUT.
Endelea kuchafua chuo cha watu hivyo hivyo utakuja kushitakiwa wewe!!!