Zamaradi Mketema wa kukosa Tsh 200,000/= kweli. Malipo kwa wafanyakazi

Uko sahihi kabisaa hizi issue za kumshtaki mwajiri mahakamani ili upate haki zako itabidi uwe na wakili mbobezi asiye hongeka, umpate hakimu/jaji mtenda haki, n.k sasa picha linaanza wakili wako tu kwanza atatoa siri kambi ya adui + hakimu/jaji kula mlungula wa mwajiri wako mwisho wa siku kesi unashindwa mchana kweupeee na tena ukikuta kesi ni za hawa waajiriwa wasio na elimu hata kidogo kuhusu sheria za mikataba ya kazi na mahusiano kazini ndiyo kabisaa atashindwa mchana kweupeee. Halaf kama walivyosema wengine hapo mh. K.Majiliwa akipiga simu moja tu kesi inaisha kama ambavyo imeisha! Halafu watu wengi hayajawakuta.
Mzee mmoja na wenzake wametumia miaka zaidi ya 15 kudai mafao yao mahakamani, na bado wana stahiki nyingine wanadai almost huu unakaribia mwaka wa 20 na hapo ni shirika la serikali linadaiwa but kuna watu kuanzia kwenye hilo shirika, makamani, serikalini, ofisi ya mwanasheria wa serikali wameapa katu hao wazee hawatopata haki yao, wakili wao kawauza😩
But issue hizi ukiandika hapa wapo watakaopinga maana hayajawakuta/kuwakuta watu wao wa karibu.
Wazee wa iliyokuwa jumuia ya EAC walitumia miaka kibao kudai haki zao, ni serikali hii hii ya ccm ilikuwa ikiwabania.
Kikokotoo cha hovyo ni serikali hii hii ya ccm inakuambia wafanyakazi wanakifurahia.
Lissue si huyo magufuli, Ndugai walikataa kumpa stahiki zake, mpaka Magu kafa, ndo Samia kwa aibu kampa?!
Kama Lissu anaweza nyimwa haki yake sembuse wafanyakazi wa sekta binafsi?
 
Acha kutetea ujinga mpumbavu wewe
 
Acha kutetea ujinga mpumbavu wewe
As for Ujinga kila mtu ni mjinga (mjinga ni kutokujua jambo) Ingawa nadhani kwa mimi kuelewa kwamba ni mjinga am wiser than you sababu nipo tayari kujifunza na kwa kufanya hivyo leo nimeelimika kuliko Jana...

As to issue at hand nadhani upumbavu ni kutokujibu Hoja na ku-attack personalities; Point zangu ni tatu:-

Moja sitetei kutokulipana sababu kama mna mkataba oral au wa kimazingira lazima umlipe mtu aliyekufanyia kazi hata kama unazalisha au hauzalishi (kulingana na mapatano yenu)

Mbili Kampuni ni Entity hata kama Mengi alikuwa ni tajiri wa kutupwa haimaanishi atoe pesa kwenye biashara hii ili kuziba mapengo ya biashara ile kwa kufanya hivyo huenda biashara zote zikafirisika na mwisho wa siku sio mmoja tu kukosa mshahara bali watu lukuki pamoja na mmiliki

Tatu Hoja yangu haijibu kutokulipana bali statement ya kwamba fulani anakosa 200k kweli / (Jibu hata kama anazo biashara inabidi ijiendeshe na sio necessarily kazi ya mmiliki kuziba mapengo bali watu incharge kuongeza vyanzo vya mapato na kama havipo wafunge biashara waifilisi na kulipa wadeni na sio mmiliki kuuza mali za Kampuni nyingine au mali ya familia kulipia)
 
View attachment 2741843
Hio ni August 8 anamuuliza kama behind the gram imeditiwa .
Inaonyesha still alikuwa anafanya kazi pale.

Wewe ukifanya kazi kibarua hata cha kung'oa majani ndo usilipwe kisha hakuna mkataba?????
Amesema alikuwa mfanyakazi huru. Kwa hiyo hakuwa ameajiriwa. Alakuwa akilipwa kwa kazi. Na kwa kuwa hapo aliomba pesa ni muhimu kujua kama kazi imefanywa.
 
Amesema alikuwa mfanyakazi huru. Kwa hiyo hakuwa ameajiriwa. Alakuwa akilipwa kwa kazi. Na kwa kuwa hapo aliomba pesa ni muhimu kujua kama kazi imefanywa.
Mbona sasa ameshindwa kuprove kuwa alikuwa anamlipa hata kwa huo u 'day worker' aliokuwa anamfanyia kazi.Mwanzoni nilitaka kuamini Zamaradi hawezi kufanya huu uhuni wa kumdhulumu huyo kijana.Alipoandika ule waraka mrefu sana wa kuelezea kuwa alikuwa ni 'day worker tu' ile story haukumake sense kabisa na hata tuliokuwa upande wake tulianza kutilia shaka maelezo yote.Watu walichimbua na kuyaweka wazi mapungufu makubwa ya yale maelezo yake na maswali yalivyomzidia akamute comments na mwisho kabisa akafuta yale maelezo.

Pale ndipo niliamini huyu dada kamdhulumu huyo kijana na story yake ilishindwa kabisa kutoa maelezo ya kujitosheleza.
 
Sawa. Inaonyesha huyo kijana alivumilia kwa muda mrefu akitegemea hali itabadilika. Hali ikazidi kuwa mbaya. Nilipojifunza tunapaswa tusifanye kazi kwa misingi ya urafiki na kusaidiana. Kazi ibaki kuwa kazi na ifwate taratibu zake
 
Ikishatokea jambo kama hili kujua ni yupi hasa anasema ukweli ni ngumu mno. Hapa inabidi aende mahakamani na huko nako kuna kona kona nyingi sana za ku-navigate. BTW mtu anafanyaje kazi miaka miwili bila malipo na akaendelea kufanya tu? Alikuwa anaishije? Walikuwa na mkataba?
 
Sawa. Inaonyesha huyo kijana alivumilia kwa muda mrefu akitegemea hali itabadilika. Hali ikazidi kuwa mbaya. Nilipojifunza tunapaswa tusifanye kazi kwa misingi ya urafiki na kusaidiana. Kazi ibaki kuwa kazi na ifwate taratibu zake
Tanzania ni nchi yenye maajabu mengi. Ni mara nyingi kweli kweli nimesikia watu wanadai kufanya kazi kwa mwaka na hata miaka miwili bila malipåo halafu kazi inapoota mbawa wanasema wanadai mshahara wa mwaka au miaka miwili etc.. Hasa tasnia ya habari hili tatizo lipo sana. Unafanyaje kazi mwaka bila malipo na bado unakuwa unaenda kazini tu?
 
Zama ni tapeli, amlipe Kaka wa watu pesa yake, khaaah
 
Yn dina awashukuru sn watu wa insta sbb hao clouds walikua bdo wana mkataba nae lkn kipindi hawampi. Kuna siku dina alipost akaongelea tabia ya mtu kwenda kwa boss na kuanza kumsema mfanyakazi mwingine na kumpikia majungu. Ss ktk coment watu wakatiririka na kumtag Zama, watu wakaenda hadi page ya zama wakachamba wakaenda page ya clouds wakachachamba. Na baada ya kile kichambo kesho yake dina akatambulishwa E fm. Yani kile kichambo ndo kilimfanya ruge amuachie huru kwenda sehemu nyingine
 
Karibu wafanyakaz wote wa clouds walikua wanamponda yn kasoro Antonio, da Huu na suzy bartazary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…