Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Umeongea ujinga mwingi, huyo Asake unaemponda, ndo huyo msanii wako diamond anaiga swaga zake kila leo anapambana afanane nae kuanzia mavazi mpaka muonekano..Umaskini chuki na roho ,hao wanaijeria hata kutunga nyimbo hovyo kama bongo tu ,ukitafsiri mashairi ya hovyo unakuta mtu eti anashabikia Asake yulee hata kuimba hajui.
Hapa bongo kama wote wapo against ya Diamond kama wanamchukia ila akikosa tunzo bado wanamlaumu yeye.... Tanzania ujinga ni mwingi sana wanafurahi mtu kukosa ndio hawa waliandaa petition ili mtu ashindwa eti kwa mlengo wa siasa.
Pambaneni na ujinga wenu ,kila kitu mnaleta siasa msanii nje ya kipaji chake ana haki ya kupiga kura na kuchagua chama chochote.
Msanii kupiga kura hazuiwi ni haki yake, ila kusimama na jamaii pale anapohitajika ni lazima na sikua upande wa wakandamizaji wa wananchi,.