Zamaradi Mketema: Watanzania tulirogwa na nani?

Zamaradi Mketema: Watanzania tulirogwa na nani?

Umaskini chuki na roho ,hao wanaijeria hata kutunga nyimbo hovyo kama bongo tu ,ukitafsiri mashairi ya hovyo unakuta mtu eti anashabikia Asake yulee hata kuimba hajui.

Hapa bongo kama wote wapo against ya Diamond kama wanamchukia ila akikosa tunzo bado wanamlaumu yeye.... Tanzania ujinga ni mwingi sana wanafurahi mtu kukosa ndio hawa waliandaa petition ili mtu ashindwa eti kwa mlengo wa siasa.

Pambaneni na ujinga wenu ,kila kitu mnaleta siasa msanii nje ya kipaji chake ana haki ya kupiga kura na kuchagua chama chochote.
Umeongea ujinga mwingi, huyo Asake unaemponda, ndo huyo msanii wako diamond anaiga swaga zake kila leo anapambana afanane nae kuanzia mavazi mpaka muonekano..

Msanii kupiga kura hazuiwi ni haki yake, ila kusimama na jamaii pale anapohitajika ni lazima na sikua upande wa wakandamizaji wa wananchi,.
 
Umeongea ujinga mwingi, huyo Asake unaemponda, ndo huyo msanii wako diamond anaiga swaga zake kila leo anapambana afanane nae kuanzia mavazi mpaka muonekano..

Msanii kupiga kura hazuiwi ni haki yake, ila kusimama na jamaii pale anapohitajika ni lazima na sikua upande wa wakandamizaji wa wananchi,.
Wewe ni mjinga Asake ana nn cha maana ? Kuiga kwani ni tatizo !?
Tunzo za Grammy juzi kachukua ngapi? Bado hujui hata anachoimba basi anaimba ujinga tupu kama Diamond tu .

Anachoimba ni utopolo wote ni wale walw tu hamna ,jipya tafuta pesa uache kuchukia watu bila ya sababu
.
 
Endeleeni kukata mauno mkisubiri kupewa sifa.

Ukishinda tuzo ni yako wewe binafsi ukifeli pia ni wewe umefeli.

Usitake shida zako tukubebee sisi.
Uchawa wa siasa acha dogo utakuwa upinde.🤣
 
Ruge alipompoteza Zamaradi alifanya jitihada ya kumtafuta na kumpigia simu ambapo kwenye simu hiyo, Ruge alisikika akimbembeleza huku akilia akimuomba Zamaradi asimuache, lakini Zamaradi akavujisha mazungumzo yao na kilio cha Ruge kwa rafiki zake au mitandaoni...Je, Zamaradi alirogwa na nani?
Karma is a bitch
 
Huwezi kufananisha wasanii wa Nigeria na haya mabumunda ya Tanzania,wakati manyanyaso ya polisi yalipozidi Nigeria kina Davido walikuwa kwenye maandamano na vispika wakiwa na wananchi...hao wasanii wa Tanzania ni ishu gani wamesimama na wananchi zaidi ya uchawa kwa ccm?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom