Mission Town akaambiwa na Bashite, Haya sasa Sema nini unataka? Jamaa akamjibu akamwambia tumepanga kufunga ndoa mwisho wa mwezi wa kumi na moja 2017 na budget nayotakiwa kuitoa ni milioni 65, binafsi Sina hata theluthiiiii, Bashite akacheka ho ho ho ho pesa ndogo sana hyo, mm nitatoa hata milioni 100, Mission Town akapigwa na Bumbuwazi la furahaaa, sasa wakati anachekelea Bashite akasema "Nitatoa hiyo hela kwa Sharti Moja tu" ehe "Nataka Sherehe ziwe mbili, hyo ya mwezi wa kumi na moja ifanyike, Ila Ndoa nataka ifungwe wiki hii Ijumaa siku ambayo Ruge Anafanya Fiesta yake Tabora kwanza itavuruga promo ya fiesta na tutengeneze propaganda Kama Ruge kachezea shilingi chooni, na tutatumia Baadhi ya Page za watu wetu mtandaoni kusambaza Taarifa Hizi, Safari Hii hata Yule Dada wa Marekani atam'bamiza Ruge shabashhhh" Mission Town akashtuka moyoni Waaaaaaaaat? Bashite akaanza kutumia kofia yake ya Ufalume na Amri zake utasema yupo kwenye Semina za udhalilishaji za "Mji Mpya" zile Mara anaamrisha mzee flani afungwe, Bashite akamwambia Bwana Mission Town, Nataka Ndoa ifanyike ijumaa Hii hapo hapo Bashite akashika simu na kumpigia simu Tajiri mmoja alete milioni 25, Baada ya Dakika kama 50 Naaaa Mzigo ukaletwa kwenye mifuko ya Rambo, Mission Town akaaambiwa Haya Chukua hii na Usimwambie mtu yeyote kama mm nipo nyuma ya tukio hili, na ukikamilisha Kazi Hii Nakupa Pesa nyingine kwa ajili ya Sherehe kubwa ya MWEZI wa 11 tumwaibishe Ruge
.
Basi Mission Town Vuup akatoka mkuku Hadi kwa Zamaradi na kujifanya Ana Kiu ya kuhalalisha mahusiano yao eti Wafunge Ndoa Fasta kwasababu ni jambo jema huku akinukuu Maneno ya vitabu vya Dini, Kwa kuwa Zama alikua na Kiu cha Kuolewa Mara Paaaap Wakapita huku wakapita kulee Mpaka kwa Kaka wa Zamaradi Mara Paaap