Zamaradi: Niacheni na mishentown wangu

Hahah hii comment imenikumbusha mbali sana
 
Story ndefu mkuu, ila wazazi wanaona mbali sana
Ni kwl...ndy maana unaulizwa hyu mchumba mnajuwana?ukisema namjuwa basi hapo umewarahisishia kazi.maana wanaogopa kumpeleka mtoto wao shimoni...maana anaweza akaja mtu so smart kumbe maisha yake hayaeleweki....kuna mwanamke alishawahi kuolewa na jamaa wakakaa miezi sita DUME halitaki liguswe na mkewe..na siku mke atakayomvua suruali..mke anapigwa vibao..kesi ikafika kwa wazazi....jamaa akaombwa talaka anasema yeye anajuwa kuoa tu..kuandika talaka hajuwi..sasa usumbufu wote wa nn huo?ndy maana watu wanaonjana kwanza..isije ukaolewa na MWANAMKE MWENZIO...au ukaolewa na DUME lenye KIBAMIA,,au ukaolewa na mtu ana MGUU wa mtoto mdogo kiunoni....hatari sana mkuu...kuonja ni lazima haina jinsi
 
Ikifungwa na stress hizi za baba jesca tutaishije 😀😀😀😀
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] yani kabla ya kumshukuru Mungu nimeamka salama, nimeanza kwanza insta kwa mange, hapo ndio nikaamini mitandao inaniharibu
Yani tunapunguzia machungu huko lol
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] eti sijui kuacha dah...
Basi mimi nilijibu hatujuani, yule jamaa alitimuliwa kipindi kile sikuwaelewa, ila jamaa alikuwa yahaya ningekuwa nimechakaa tu huko
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] eti sijui kuacha dah...
Basi mimi nilijibu hatujuani, yule jamaa alitimuliwa kipindi kile sikuwaelewa, ila jamaa alikuwa yahaya ningekuwa nimechakaa tu huko
Duu..alitakiwa aonje mkuu...asingefukuzwa
 
Kumbe huwa unanifuatilia ee nice my silent follower,Sijuagi kuact mkuu.
Izo presumptions tu, you can't relate to people that way, ur not too special iyo inaitwa self centeredness,... Kuna dunia kubwa haikuzunguki wewe, kwa iyo kaa na watu ule vya watu,
 
Baba ushauri sihitaji huduma yako ee.
Izo presumptions tu, you can't relate to people that way, ur not too special iyo inaitwa self centeredness,... Kuna dunia kubwa haikuzunguki wewe, kwa iyo kaa na watu ule vya watu,
 
WAKUU, DADA ZETU WANATAMANI SANA KUOLEWA LAKIN HAWAOLEWI. MSIMSHANGAE ZAMARADI, UMRI UMEKWENDA, KILA KITU ANAONA ANACHO ILA KWA IMAN YAKE YA DIN ANAONA AMEKOSA KITU MUHMU, YANI NDOA.. HAPO HATA MUUZA MKAA ANGEAHD NDOA ANGEMPATA ZAMARADI.

HALAFU HLI LA KUMSINGZIA BASHITE SIDHAN KAMA NI KWELI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…