Ndo maisha ya kileo,muhim kuwa makini sana,hii si kwa wapenzi tu hata watu wa kawaida,kurekodi,taking skinShotHuyu Mange ndo anazidi kumuharbia Zamaradi kwanza inaonekana Zamaradi ndio aliemrekodi Boss Ruge, sizani kama hii ni sahihi ukifkria kwamba wale ni wazazi, mulio karbu na Mange mwambieni pale anaiharbu familia wala hamdharirishi Ruge.. Alafu mambo ya ndani kurecordiana ndo nn.. Alafu bado mnamuita Zamaradi yupo smart upstairs kweli unamrekodi mzazi mwenzako alafu unarusha mitandaoni, hv watoto wakikua wakiona ile hali baba yao analia hadharani itakuaje...
Umeongea la maana sana! Watu wanadhani pesa pekee ndizo ziizokua zinamuweka Zama kwa Rughe sasa amewaachia walimwengu wanalipuka kwa kumuita mumewe Mission Town ,Zama kafata kilichomvutia kwa Shaban kwake yeye kidogo chenye heshima ni bora kuliko kikubwa cha dharau kujaziwa wanawake wa THT alishachokaWatanzania tunapoelekea ni wapi? Maana ktk uchunguzi wangu utaona mtu anamkandia mwenzake kwenye ukurasa wake wa insta sasa pata bahati umuone mwenyewe sasa utamkimbia , unamuita mtu misheni town maana yake nn ili umdhalilishe, hebu niulize una mke ana mabwana kumi lakini kwa kuwa ana hela wewe mwanamme unavumilia inawezekana kweli hutaki kumuacha kwa kuwa ana hela, sisi pia ni mission town lakini tuna maisha mazuri kuliko hao wanaofanya kazi maofisini tusidharauliane jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Itafikia hatua mtu akiumwa na mbu atasema ni bashite kawatuma
quermaninah jamaa umefikiri kama James Bond wa 007Walitaka iwe Ruge amtema Zamaradi.
Namsubiri mzee wa dude tuTayari Kiki zimeshaanza?
Mbona mapema namna hii
Skinshot= ScreenshotNdo maisha ya kileo,muhim kuwa makini sana,hii si kwa wapenzi tu hata watu wa kawaida,kurekodi,taking skinShot
Shukran Sweet heartSkinshot= Screenshot
Amani mkuu
Watoto wakikua na wakiambiwa baba yao alimzalisha mama yao na akawa anasita sita kumhalisha yaani kufunga nae pingu za maisha watamheshimu sana baba yao.Huyu Mange ndo anazidi kumuharbia Zamaradi kwanza inaonekana Zamaradi ndio aliemrekodi Boss Ruge, sizani kama hii ni sahihi ukifkria kwamba wale ni wazazi, mulio karbu na Mange mwambieni pale anaiharbu familia wala hamdharirishi Ruge.. Alafu mambo ya ndani kurecordiana ndo nn.. Alafu bado mnamuita Zamaradi yupo smart upstairs kweli unamrekodi mzazi mwenzako alafu unarusha mitandaoni, hv watoto wakikua wakiona ile hali baba yao analia hadharani itakuaje...
Haaaaaa team mawingu mna kazi sanaNyinyi si ndo mmesema zama. Yupo smart upstairs, nazani kama mlimaanisha yupo smart kichwani basi kwa alichofanya huo usmart kichwani hana, maswala ya shilawadu wale ile ni kazi yao, walipokaa kimya na kupotezea hii habari sisi ndo tulipiga kelele kutaka kupata ubuyu...
Ndio nasuma niko page 11!siachi hata moja pia!Kwa Mara ya kwwnza ktk huu ubuyu nimesoma kila comment ya MTU
Yani kutoa mawazo tofauti na yako unaniita Team mawingu, na wew mbona umetoa mawazo tofauti na mm.. Kwa hyo na wew ni team Zamaradi au, usipende kila mtu awe na mtazamo kama wako..Haaaaaa team mawingu mna kazi sana