Zamaradi: Niacheni na mishentown wangu

mange kashaamka huko......kasema anaingia chimbo akitoka ubuyu wote utakuwa mubashara kabisa
Aingie chimbo au Ndo alulize wasaliti wenzake.
 
dooh kumbe mtonyo wooote wa ndoa katoa bashite? dunia ina mambo hii!!
hahahaha cdhani kama ni kwel,million 65 itoke kwa ajili ya kumkomesha Fulani??!! teh teh teh huu ubuyu sudi auongezee sukari kidogo aseee bado haujaniingia akilin,au hawakupnd zama kuolew na mtu mwngn!!
wamuache dada wa watu ndoa ynyw haina hata wiki ishaanz kutiwa nuksi..!!
 
mwenzangu isijekuwa wanataka kumkomoa zama tu na hiyo ndoa yenyewe aione chungu
 
Faa faaa faaaa anaelekea kushinda.. Ila ajue kuna leo na Jana...
 
Watanzania tunapoelekea ni wapi? Maana ktk uchunguzi wangu utaona mtu anamkandia mwenzake kwenye ukurasa wake wa insta sasa pata bahati umuone mwenyewe sasa utamkimbia , unamuita mtu misheni town maana yake nn ili umdhalilishe, hebu niulize una mke ana mabwana kumi lakini kwa kuwa ana hela wewe mwanamme unavumilia inawezekana kweli hutaki kumuacha kwa kuwa ana hela, sisi pia ni mission town lakini tuna maisha mazuri kuliko hao wanaofanya kazi maofisini tusidharauliane jamani
 
Unajua miss Natafuta baadhi yetu tumeweka mbele kuolewa haijalishi unaolewa na nani ndoa si kitu cha kujaribu unatakiwa uwe umeamua kabisa kwamba now Niko tayari kuishi maisha ya ndoa na usiolewa kisa unamkomoa your X utaumia ww na si X wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…