Zamaradi: Niacheni na mishentown wangu

Zamaradi: Niacheni na mishentown wangu

Mission Town akabananishwa akafunguka kuwa hajawahi kufanya jambo lolote la Kikubwa (KwichiKwichi) na Dada Z, uuuuuphhh ngoja nipumue kwanza (Afadhali) basi akaonywa achana na mke wangu mtarajiwa
.
Wapendanao Z na R waleeee wakasepa zao na kusameheana
.
Lakini Ndugu wa Z bado waliendelea kusimamia msimamo wao kuwa hakuna ndoa Kati ya Z na R bila R kubadili Dinii
.
Karibu miezi miwili iliyopita wapendanao wakampa ushindi wa K.O Bwana Jini Mkata Kamba Yani Wakakubali Matokeo kuwa hapa hakuna cha Ndoa wala kivuli cha Ndoa
.
Ingawa kishingo Upande na Hakuna jinsi Wakakubaliana kuwa Kila mtu aendelee na Maisha yake Ila Cha Msingi ni Malezi na Matunzo ya Batoto Bawili
.
Dada Zamaradi sasa hapo kumbuka Tayari Pesa anayo Mtaji Anao, Magari anayo kila kitu anacho, Yani Yeye Stress yake Moja tu, Ambayo ni nini? "Kuolewa" haijalishi anaolewa na Nani .
Matokeo yake Ndo Juzi usiku chereko chereko, Ayya Ya yaa kuolewa ntarudi nyumbani kuolewaaa
.
Nakurudisha Nyuma kidunchu Kabla ya Tukio la Ndoa
Mission Town akawa anatafuta pesa za kufungia Hii ndoa ya Juzi ambayo kabla yake walipanga ifanyike MWEZI wa kumi na moja mwishoni (Nitakuambia kwanini imefanyika Ijumaa Ghafla) Mission Town Kiiiila akijichekecha pesa aliyonayo Pamoja na michango kutoka kwa Ndugu na jamaa zake haifikii hata robo ya Budget waliyokua wameipanga, Mission town wenzake wakamshauri Eti kwa kuwa Z inafahamika ni wa R basi amtafute mkuu wa Mji "Bashhhhhhhhh" Bashiteeeeeeeee
.
Na kweli bila Zamaradi kujua Yani kwa Usiri mkubwa Bwana Misson Town akaanza kumsaka Bashiiiiite kwa kutumia watu wa karibu na Bashite ikamchukua Masaa machache sana kukutana nae hasa Ukizingatia Issue yenyewe inamhusu Nani
.
Kikao chao kilifanyika nyumbani kwa Bashite kwasababu ndo sehem swalama zaidi, Unaambiwa Siku hiyo Bashite alikua anachekelea Balaaa kwa kwa kwa kwa kwaaa Kwanza akamuuliza mission Town "Zamaradi anajua kama tumekutana" Mission Town akajibu "Hapana" ebanaeee Akakumbatiwa na Bashite kwa Dakika mbiliiii huku Chozi la Furaha linamtiririka Bashite .
Mission Town akaambiwa na Bashite, Haya sasa Sema nini unataka? Jamaa akamjibu akamwambia tumepanga kufunga ndoa mwisho wa mwezi wa kumi na moja 2017
Basi wewe ni Soud[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] umeandika kama ulikuwepo
 
mhmh Tz ¿¿¿¿ najuta kuzaliwa carne hizi,,,,,
 
Wewe hivi unadhani kujiita Miss natafuta kwenye mtandao VPN code zako hujulikana, Ni vizuri ukaheshimu mamlaka kuu, usiite bashite huku unaishi mbezi Beach tena mlinzi wako ni maombi yako ya dini be carefull, Hii ni nchi hakuna siri kwa usalama wa taifa, Wewe na ukoo wako ni sehemu tu ya watu milioni 45 ,Take care andika ukweli story za kutunga zitakucost sana
Kamuue sasa mmetuchosha na kutisha kwenu
 
Wewe hivi unadhani kujiita Miss natafuta kwenye mtandao VPN code zako hujulikana, Ni vizuri ukaheshimu mamlaka kuu, usiite bashite huku unaishi mbezi Beach tena mlinzi wako ni maombi yako ya dini be carefull, Hii ni nchi hakuna siri kwa usalama wa taifa, Wewe na ukoo wako ni sehemu tu ya watu milioni 45 ,Take care andika ukweli story za kutunga zitakucost sana
Acha kutisha watu. Hakuna anayeishi milele. Nchi hii inahitaji viongozi wenye maono ili tuweze kutoka hapa tulipokwama, sio viongozi wa kukimbizana na watu wasiowashangilia huko mitaan na mitandaon.

DAB anatisha sana na kwa sasa yuko juu, lakin baada ya miaka 10 tu, atakuwa kama watu wengine tulio chini huku.
 
ni afadhali ukutane na dubu mwenyehasira kuliko mp*m#af$ katika up*m#af$ wake..
 
Wewe hivi unadhani kujiita Miss natafuta kwenye mtandao VPN code zako hujulikana, Ni vizuri ukaheshimu mamlaka kuu, usiite bashite huku unaishi mbezi Beach tena mlinzi wako ni maombi yako ya dini be carefull, Hii ni nchi hakuna siri kwa usalama wa taifa, Wewe na ukoo wako ni sehemu tu ya watu milioni 45 ,Take care andika ukweli story za kutunga zitakucost sana
Acha kutishia watu kwenye mitandao
 
Jaman hakuna aliyewahi ku screenshot huko kwa sudi atuwekee hapa....wengine tulipitwa...
IMG_20171001_222227_057.jpg
 
Back
Top Bottom