The Most Winner
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 733
- 960
Naona mmehamia kwenye maombi.[emoji2][emoji2]View attachment 1430120
Sent using Jamii Forums mobile app
Maombi tunafanya kila siku, hatujaanza leo na hatutaacha, ila pamoja na yote tunatumia hekima tuliyopewa na Mungu, hatuwezi kuwa na kauli za kiajabu eti corona ikiingia kanisani itaungua. Tunachukua tahadhari kwa kutumia hekima.
Hauwezi ukamgusa simba kidevu huku ukiomba Mungu amzuie huyo simba asikutafune....
Waumie kwa lipi ,bandari ziko nyingi sanaSasa sisi watanzania tunaadhirika vipi.mi naona wao ndio wataumia.sisi ahh tunawatazama wao
Wabongo ni wavivu balaa, yaani mijamaa badala ya kupiga kazi inawaza ilale ndani..Kaa Wewe Ndani na familia yako
USA licha ya maambukizi kuongezeka ila wanaondoa lockdown
Wabongo ni wavivu balaa, yaani mijamaa badala ya kupiga kazi inawaza ilale ndani..
nchi zote walio kaa ndani wataondoa hiyo lockdown yao tu hakuna namna, ujerumani wanaforce shule zifunguliwe mwezi huu kama siyo week hii
Kwani hao wakenya wanaoomba mungu ili corona iishe wamefundishwa na nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui Kiswahili? Eti tuna adhirika, sema tunaathirikaSasa sisi watanzania tunaadhirika vipi.mi naona wao ndio wataumia.sisi ahh tunawatazama wao
Mkuu usiwalaumu hao wavivu waliojifungia ndani,wewe chapa kazi ili kusudi wakitoka kujifungia uwapige hela,au wewe hutaki hela?Wabongo ni wavivu balaa, yaani mijamaa badala ya kupiga kazi inawaza ilale ndani..
nchi zote walio kaa ndani wataondoa hiyo lockdown yao tu hakuna namna, ujerumani wanaforce shule zifunguliwe mwezi huu kama siyo week hii
Msiwe mnaimba tu kama kasuku. Ni US ya wapi imeondoa lockdown?Kaa Wewe Ndani na familia yako
USA licha ya maambukizi kuongezeka ila wanaondoa lockdown
kwa fikra zako unaona hatutaathirika? We jamaa sijui unaishi ulimwengu gani. Rais alitoa sababu gani zinazofanya tusifikirie kuifungia Dar?Sasa sisi watanzania tunaadhirika vipi.mi naona wao ndio wataumia.sisi ahh tunawatazama wao
Hahahahahah sisi ni kuchapa kazi, limau nyingi pamoja na tangawiziJapo Watz hulia sana dhidi ya Kenya, lakini naona wamefungiwa na majirani wote hadi wale wao huwaita ndugu wa damu kule SADC, hii yote imetokana na kukaidi kwao kuchukua tahadhari na kuendelea kushupaza shingo huku wakishikilia mambo yasiyo na misingi ya kisayansi, ndugu zetu mtaendelea kutengwa sana kwenye hili la kuogelea ndani ya kirusi huku mkikaidi taratibu zilizoshauriwa na wataalam duniani.
WHO wamewasema sana kwa hili la ukaidi.....
Hujui....wale ambao sio wakaidi wala hawajasemwa sana na WHO; Confirmed 927,026 na Dead 52,264......sijui.....wanataka kudungana sindano za kemikali na kuchomana mionzi ya mianga mikali!Japo Watz hulia sana dhidi ya Kenya, lakini naona wamefungiwa na majirani wote hadi wale wao huwaita ndugu wa damu kule SADC, hii yote imetokana na kukaidi kwao kuchukua tahadhari na kuendelea kushupaza shingo huku wakishikilia mambo yasiyo na misingi ya kisayansi, ndugu zetu mtaendelea kutengwa sana kwenye hili la kuogelea ndani ya kirusi huku mkikaidi taratibu zilizoshauriwa na wataalam duniani.
WHO wamewasema sana kwa hili la ukaidi.....
Tumefundishwa kwenye imani zetu kuomba, ila pia tumepewa hekima na kuhubiriw kutumia maarifa na kwamba pale maarifa yetu yanafika mwisho ndipo Mungu huanzia, hivyo kwa kifupi maarifa yetu yapo kwenye kuchukua tahadhari za kawaida, ikiwemo kuepuka misongamano, kunawa mikono n.k. Sasa hapo ndio mwisho wa maarifa yetu, na zaidi ya hapo ndio Mungu anaanzia, tunamuomba aimalize Corona maana maarifa aliyotupea hayajafikia kwenye level hiyo.
Narudia tena, hauwezi ukamshika simba mwenye njaa kidevu huku ukiomba Mungu amzuie asikutafune, maarifa uliyopewa unapaswa uyatumie kwa kutoka nduki na kuepuka.
Nyie hapo mnasongamana kwenye vilabu na machangudoa huku mkisema mnaomba dhidi ya Corona, hamchukui tahadhari...