Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
NakaziaKuna siku vyombo vya habari vitatipoti habari kama hizi kutokea nchini Tanganyika.. Na pengine si kitambo kirefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaKuna siku vyombo vya habari vitatipoti habari kama hizi kutokea nchini Tanganyika.. Na pengine si kitambo kirefu
Kasome sheria kuhusu kitu kinachoitwa holding charge. Wala hata Rais hausiki ni ofisi ya DPP.Jamani hii Afrika ina vituko ni balaa.
Yaani mke wa rais aibe gari?
Au ni kwa sababu wizi wa gari Zambia ni kesi isiyokuwa na dhamana hivyo wameona wambambike kesi hiyo.
Hata Chiluba aliwahi kupewa kesi ya wizi wa gari(benzi saloon) ili tuu akose dhamana.
Huyu rais wa sasa Zambia alisifiwa kama mdemokrasia ila sasa analikoroga kwa kutafuta mchawi wa yeye kushindwa kuikwamua nchi kiuchumi
MKuu kwa katiba ipiKuna siku vyombo vya habari vitatipoti habari kama hizi kutokea nchini Tanganyika.. Na pengine si kitambo kirefu
Hichilema kaanza kulipa kisasi kwa jinsi lungu alivyomuhenyesha kipindi ana struggle kupata urasi kweli yajayo yanafurahisha ni swala la muda tyuuuJeshi la Polisi linamshikilia Esther Lungu ambaye ni mke wa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu akituhumiwa makosa matatu likiwemo la wizi wa gari ambalo amekanusha kuhusika.
Esther ambaye yuko kizuizini Jijini Lusaka, amekamatwa pamoja na watu wengine watatu wakiwa pia wanatuhumiwa kumiliki mali inayoaminika kupatikana kwa njia ya uhalifu.
Mawaziri kadhaa wa zamani, Maafisa wa Serikali na Wanafamilia wa Lungu wanachunguzwa kwa tuhuma za uhalifu licha ya kuwa wote wanakanusha kuhusika katika tuhuma mbalimbali.
#####
Former Zambian first lady arrested over alleged theft
Police in Zambia have arrested the wife of former President Edgar Lungu on three charges, including theft of a motor vehicle, which she denies.
Esther Lungu who is currently in detention in the capital, Lusaka, has been arrested along with three others.
Police spokesperson Danny Mwale confirmed in a statement that the quartet had also been charged with one count of theft of a certificate of title for a property in Lusaka.
They are also accused of being in possession of property believed to be proceeds of crime.
Several former ministers, government officials and Mr Lungu's family members are currently under investigation for suspected criminal activities.
They all deny wrongdoing.
Source: BBC
Kuna familia naiona inaanza kusogeza kiti nyumaKuna siku vyombo vya habari vitatipoti habari kama hizi kutokea nchini Tanganyika.. Na pengine si kitambo kirefu
Tumuombee kwa lipi hasa?. Adhabu kali iwe juu yake kama akipatikana na hatia.Mke wa Rais wa zamani wa Zambia Esther Lungu yuko mikononi mwa Polisi akituhumiwa kwa makosa matatu likiwemo la Wizi wa gari
Tumuombee!
ThubutuKuna siku vyombo vya habari vitatipoti habari kama hizi kutokea nchini Tanganyika.. Na pengine si kitambo kirefu