Zambia: Mke wa Rais mstaafu akamatwa kwa madai ya wizi

Kasome sheria kuhusu kitu kinachoitwa holding charge. Wala hata Rais hausiki ni ofisi ya DPP.
 
Hichilema kaanza kulipa kisasi kwa jinsi lungu alivyomuhenyesha kipindi ana struggle kupata urasi kweli yajayo yanafurahisha ni swala la muda tyuuu
 
Kuna siku vyombo vya habari vitatipoti habari kama hizi kutokea nchini Tanganyika.. Na pengine si kitambo kirefu
Kuna familia naiona inaanza kusogeza kiti nyuma
 
Mke wa Rais wa zamani wa Zambia Esther Lungu yuko mikononi mwa Polisi akituhumiwa kwa makosa matatu likiwemo la Wizi wa gari

Tumuombee!
Tumuombee kwa lipi hasa?. Adhabu kali iwe juu yake kama akipatikana na hatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…