ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kujimilikishaje?Kwasababu wajomba wanataka kujimilikisha mali zetu wakati wazazi bado wapo na unajua huwezi kutumia jina la ukoo wa wajomba. na wewe niambie uzuri wa huo mkataba ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujimilikishaje?Kwasababu wajomba wanataka kujimilikisha mali zetu wakati wazazi bado wapo na unajua huwezi kutumia jina la ukoo wa wajomba. na wewe niambie uzuri wa huo mkataba ni nini?
We pimbi ni wale wale sawa na maboya wenzako. Unachagua vifungu kutokana na eneo unaloona linakufaa.We ng'ombe soma hiyo appendix 1 uone ni maeneo gani anaenda kupewa malaya wewe View attachment 2680147
USA ndio hao hao World Bank. Wanajua afrika nzima ikisimama na nchi hizi zikaanza kutumia fursa za humu ndani wao wamarekani na waingereza ndio utakuwa mwisho wao.Umeama tena kwenye hoja world Bank kuungana na wanaokosoa ili tenda wapate western and USA.
Watafute tuuu, huwez kuuza bandari kisa Una mamlaka, hiyo haipo, alaf bandari ni Kwa ajili ya Watanzania Kwanza then hao jamaa wengine badae..!!
Unamaanisha nini?Kumbe bandari zote za maziwa na bahari zinapeleka mizigo Congo na Zambia?