Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

Ni vita ya kiuchumi inayoendelea kati ya World Bank dhidi ya DPW. World bank walipotoa pesa ya mkopo wa kuendeleza bandari walitegemea kazi ya ukarabati na usimamizi wapewe makampuni ya magharibi ili wauendeleze ushawishi wao katika ukanda huu.

Maamuzi ya serikali ya kwenda na DPW ni kama wamewachanganya, hivyo mashambulizi yao yanakuwa mengi kupitia mawakala wao baadhi wakiwa humu JF.
Unatwist tu maneno kila kukicha, sahivi umeamia kwenye hoja nyepesi. Hivi hujui kuwa makampuni ya west pamoja na USA ndiyo inajenga sehemu kubwa ya projects za Dubai? Na hauna taarifa ya ukaribu kati ya DPW na USA? Sasa west ipi unayozungumzia?
 
Mkopo ni mkubwa na walitarajia kuwa na ushawishi wa biashara ya SGR itakapoanza. Wamekwenda Zambia na kuanzisha biashara ya kutumia port ya Lobito, ni kama kutukomoa.
 
Corridor ya Lobito ilikuwa operational kabla ya miundombinu kuharibika kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe (Wa-Angola). Kuharibika kwa miundombinu ndiko kulikoipelekea Zambia kutumia reli ya TAZARA na bandari ya DSM kama m'badala wa kusafirisha bidhaa zake.

Kumekuwa na mipango ambayo hayajatekelezwa ya kuifufua hiyo corridor kwa muda sasa. Mara ya mwisho walikubaliana kuanza utekelezaji mwaka 2017 kwa matarajio ya kumaliza mwaka 2024.

Ni kweli unaweza ukawa unajua intelijensia ya kiuchumi ila kwa hili la kumhusisha Kagame na DP World halina uhakika sana.

Ahsante.
lina uhakika. DP WORLD wana bandari kavu Kigali, na kama bandari ya dsm itafana manake na ya kigali iliyo kavu itafana. kagame kaja sana hapa hata kabla ya sakala la bandari hata hatujui alikuwa anakuja kufanya nini. though anaweza kuwa na malengo mazuri, sio kutupiga.
 
Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.

Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!

Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
 
Kumbe bandari zote za maziwa na bahari zinapeleka mizigo Congo na Zambia?
 
Mnakera mnakua kama matoto ya lakwanza acheni ujinga kichwani mwenu..kila siku bandari imeuzwa imeuzwa!!Yaani nitaman aje rais kama magu ili wapuuzi kama nyie muadabishwe haya mambo ya demokrasia yanarudisha maendeleo nyuma na maza anatakiwa kua mkali ndio mtapata akili
Haina haja ya kutumia nguvu sana. Kukiwa na maelezo yanayoeleweka inatosha.
 
Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.

Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!

Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
Unadhani wanapita Bandari ya Dar kwa sababu ya kupenda tu? Kuna sababu nyingi zinazowafanya wapite bandari ya DSM. Ikiwa ni pamoja na kukua kwa chumi za Middle East na Far East. Kukua kwa idadi ya watu katika Africa ya Mashariki na Chumi zake. Examples, Ethiopia, Kenya, Tanzania na Uganda. Meli huwa haibebi mzigo wa Congo DR na Zambia tu. Meli huja na mizigo mingi ya nchi zingine jirani.
Kuna sababu za kiusalama katika Bahari ya Hindi na katika Tanzania Central na South West Corridors.
 
Punguza povu na ongea ukweli sio kupotosha watu. DPW wanapewa baadhi ya mageti sio bandari nzima.

Wanakuja kuongeza ufanisi, hatutaki tena yale mambo ya meli kukaa kule baharini kwa wiki nzima ikisubiri huduma.

Hii ni vita nzito kati ya World Bank na DPW, ni vita ya kiuchumi. Hivi sasa mmarekani kahamia huko Zambia na DRC ili auchukue mzigo wao kupitia bandari ya Lobito, ili kutukomoa sisi tulioamua kwenda na DPW.

Usipojua hizi habari kwa kina, unaishia kutukana tu matusi na kuwa bendera hufuata upepo mtu wa kuvutwa sikio na kupelekeshwa hovyo.
We ng'ombe soma hiyo appendix 1 uone ni maeneo gani anaenda kupewa malaya wewe
Screenshot_20230706-141841.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20230706-141841.jpg
    Screenshot_20230706-141841.jpg
    63.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom