Kwasababu wajomba wanataka kujimilikisha mali zetu wakati wazazi bado wapo na unajua huwezi kutumia jina la ukoo wa wajomba. na wewe niambie uzuri wa huo mkataba ni nini?
USA ndio hao hao World Bank. Wanajua afrika nzima ikisimama na nchi hizi zikaanza kutumia fursa za humu ndani wao wamarekani na waingereza ndio utakuwa mwisho wao.
Hivyo ni lazima wawatumie waafrika wenzetu katika kutumaliza sisi wenyewe kama walivyofanya enzi za mababu zetu.