Zambia: Rais Hichilema aagiza magari ya kifahari yauzwe ili kulinda uchumi wa nchi

Ngozi nyeusi ni nyeusi tu haijalishi ipo wapi.
Ndiyo maana Zambia hakuna Chama tawala lakini Tanzania kuna chama tawala yaani Tanzania bila chama Tawala Serikali haiendi lakini Zambia nchi ni mali ya Wananchi.
 
Haya ni maamuzi ya kujenga popularity tu. Used car utapata Tsh ngapi ukiuza? Na hizo fedha je zitaweza kuikwamua Zambia kiuchumi?
Hapana boss, umefikiria kifisadi zaidi, kwamba sh 10,000 sio issue kwako kwakuwa umekuwa mpigaji wa mamilioni on a daily basis, ni mfano tu, sio wewe.

Unaweza kudhani hivyo, lakini najua, gharama ya matengenezo na kuendesha gari kubwa iliyoanza kuchakaa ni kubwa zaidi ya mpya!

Hivyo, ni sahihi kabisa kuziuza, na kama unafikiri wanalenga kupata hiyo pesa fikiria tena. Lengo ni;
  • Kuondoa mentality ya ubwana na utwana
  • Kuondokana na gharama za matengenezo na kuendesha hayo madude
  • Kuchora mstari bila kujali yaliyopita.

TZ, kila mwaka wanatumia 558bn kununua hayo madude, kwaajili ya nini? Hawajasema wanayagharamia kwa kiasi gani hapo!

Kuanzia Fortuner, Hilux Double cab, Hardtop, RAV4 zinashida gani?

LC series za kazi gani kwa safari za Dar, Dar-Dom? Au kupokelea watu airport kuwapeleka Lumumba?

Kama tuna ATC, ni kiasi kitaigharimu serikali kumsafirisha mtu kwa ndege tofauti na kuungurimisha VX V8 Dar - Dom? Usiseme habari za muda, ratiba lazima zifuatwe. Zaidi, gari zilizotajwa hapo pia zinafika mpaka SA wakitaka.

Raisi wa Zambia, afike sehemu, aondoe na hizo priviledge zote, ukiwa waziri, unapewa transport allowance tu, utajua mwenyewe.
 
Huu utajiri wa familia ya Mbowe hauruhusu kujenga ofisi ya chama?
Tenganisha Mbowe na Chadema kama ambavyo kiongozi wa chama chochote kile hapa bongo hajawahi kujenga ofisi za chama chake.
Jiulize CCM imewachukua miaka mingapi kujenga Lumumba tena kwa kulazimisha michango ya hata wasiohusika?.
 
Sisi tunakwenda nayo kwa michepuko
 
Ona huyu mbwa, mmeshindwa hoja mnakuja na matusi! Katiba mpya, Mbowe yuko huru, Lissu karudi, na mengine ambayo CHADEMA wameyaweza, ndio yanawapa msongo wa mawazo mmebakia matusi!

Anyway, siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa
Njoo nikuoe nikupe mimba ujitulize

USSR
 
Ndiyo maana Zambia hakuna Chama tawala lakini Tanzania kuna chama tawala yaani Tanzania bila chama Tawala Serikali haiendi lakini Zambia nchi ni mali ya Wananchi.
Unajua hata maana ya chama tawala?

UPND ya Hicholema si ndiyo chama tawala nchini Zambia toka 2021.

Hoja ilikuwa uadilifu mchakato wa uuzaji wa hayo magari ya serikali.

FYI: Zambia haipo hata top ten ya least corrupt countries kwa Africa kwa takwimu za karibuni.

 
Wewe ni mpumbavu tu, huna adabu! Noangea na mwenye mbwa siongei na mbwa
Mshamba kama wewe huniwezi mimi dume la mbegu nitakuzalisha mapacha

USSR
 
Tanzania tunasema bila ccm nchi haiwezi songa wenzetu hawana hayo mambo ukivurunda wananchi wote bila kujali chama wanakuondoa kupitia sanduku la kura.
 
Ni magari yaliyonunuliwa baada ya yeye kuingia madarakani. Mimi naona yuko sahihi kwasababu haiwezekani zero kilometre ionekane imechakaa haifai wakati sisi wananchi tunanunua used na tunadumu nazo hata miaka 20
Hichilema ni kiongozi anayejitahidi sana.
 
Inasikitisha sana
 
Wenye akili na kujitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…