Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 8,118
- 13,547
Ngozi nyeusi ni nyeusi tu haijalishi ipo wapi.Zambia siyo Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngozi nyeusi ni nyeusi tu haijalishi ipo wapi.Zambia siyo Tanzania.
Ndiyo maana Zambia hakuna Chama tawala lakini Tanzania kuna chama tawala yaani Tanzania bila chama Tawala Serikali haiendi lakini Zambia nchi ni mali ya Wananchi.Ngozi nyeusi ni nyeusi tu haijalishi ipo wapi.
Wewe ni dalali wa k mbao hapo Manzese kijiwe cha kahawa na tawi la Act Kosovo darajani nimekumanya.Huku Chadema wanataka Mbowe aishi maisha kifahari lakini chama hakina ofisi
Hapana boss, umefikiria kifisadi zaidi, kwamba sh 10,000 sio issue kwako kwakuwa umekuwa mpigaji wa mamilioni on a daily basis, ni mfano tu, sio wewe.Haya ni maamuzi ya kujenga popularity tu. Used car utapata Tsh ngapi ukiuza? Na hizo fedha je zitaweza kuikwamua Zambia kiuchumi?
Tenganisha Mbowe na Chadema kama ambavyo kiongozi wa chama chochote kile hapa bongo hajawahi kujenga ofisi za chama chake.Huu utajiri wa familia ya Mbowe hauruhusu kujenga ofisi ya chama?
Sisi tunakwenda nayo kwa michepukoRais Hichelema ameagiza magari yote ya kifahari nchi humo yauzwe ili kulinda uchumi na kuwataka viongozi waishi maisha ya kawaida kama binadamu wengine huku wakikabiliana na hali ngumu ya uchumi.
Hawa ndio wako serious kuendana na hali ya uchumi wa dunia wameamua na kutenda, magari haya ni shidaa kwa ulaji mafuta, matengenezo na gharama kubwa sana kuyanunua pia hayadumu kivile.
Njoo nikuoe nikupe mimba ujitulizeOna huyu mbwa, mmeshindwa hoja mnakuja na matusi! Katiba mpya, Mbowe yuko huru, Lissu karudi, na mengine ambayo CHADEMA wameyaweza, ndio yanawapa msongo wa mawazo mmebakia matusi!
Anyway, siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa
Unajua hata maana ya chama tawala?Ndiyo maana Zambia hakuna Chama tawala lakini Tanzania kuna chama tawala yaani Tanzania bila chama Tawala Serikali haiendi lakini Zambia nchi ni mali ya Wananchi.
Ona mpumbavu huyu! Umekosa hoja dogo, relax! Matusi kwangu sifaNjoo nikuoe nikupe mimba ujitulize
USSR
Wewe ni mpumbavu tu, huna adabu! Noangea na mwenye mbwa siongei na mbwaUnapenda kupambana na waume zako humu
USSR
Wewe mpumbavu mmoja hivi, unapata wapi guts kuingia Kwa profile ya mwanaume mwenzio? Acha ushoga dogo! Umeolewa CCM hapo kutwa kucha kuandika ujinga!
Angalia aina ya mwanaume unayemtaka, angalia sana!
Tanzania tunasema bila ccm nchi haiwezi songa wenzetu hawana hayo mambo ukivurunda wananchi wote bila kujali chama wanakuondoa kupitia sanduku la kura.Unajua hata maana ya chama tawala?
![]()
Ruling party - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
UPND ya Hicholema si ndiyo chama tawala nchini Zambia toka 2021.
View attachment 2604117
Hoja ilikuwa uadilifu mchakato wa uuzaji wa hayo magari ya serikali.
FYI: Zambia haipo hata top ten ya least corrupt countries kwa Africa kwa takwimu za karibuni.
![]()
10 least corrupt countries in Africa, according to latest corruption index report
10 least corrupt countries in Africa, according to latest corruption index reportafrica.businessinsider.com
Hichilema ni kiongozi anayejitahidi sana.Ni magari yaliyonunuliwa baada ya yeye kuingia madarakani. Mimi naona yuko sahihi kwasababu haiwezekani zero kilometre ionekane imechakaa haifai wakati sisi wananchi tunanunua used na tunadumu nazo hata miaka 20
Inasikitisha sanaHuku kwetu TAMISEMI imetenga bilioni 100 kununua gari za wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya.
At the same time Kuna shule ziko chini ga Tamisemi hawana walimu, hawana vitabu vya kutosha , wanasomea chini ya mti.
Vijiji having zahanati. Zahanati hazina dawa. Dawa zine exprire.
Barabara mbovu. Hakuna pesa ya za kuzijenga, zinazojengwa Kila Senti imepigwa 10%.
Tumerogwa sana
Laiti!! Nasema laiti kile Senti Ingetumika kwa mahitaji ya msingi tu walah tena bongo ingekuwa ingekuwa kama CALIFORNIA lakini tutabaki kuwa bongo kama bongo sababu hapa hatuna akili kabisa na tumechagua wale tuliowapita akili watuongoze.
Tumerogwa kwakweli
Wenye akili na kujitambuaRais Hichelema ameagiza magari yote ya kifahari nchi humo yauzwe ili kulinda uchumi na kuwataka viongozi waishi maisha ya kawaida kama binadamu wengine huku wakikabiliana na hali ngumu ya uchumi.
Hawa ndio wako serious kuendana na hali ya uchumi wa dunia wameamua na kutenda, magari haya ni shidaa kwa ulaji mafuta, matengenezo na gharama kubwa sana kuyanunua pia hayadumu kivile.
Tanzania tulijaribu tukashindwa, Kenya ilijaribu ikashindwa, Uganda walishindwa wote walioshindwa haikufukia hatua ya rais mwenyewe kutamka sasa huyu katamka.
USSR
-----
Zambian President Hakainde Hichilema on Thursday directed the head of the public service to ensure that all luxury vehicles bought after the formation of the new government are sold.
The Zambian president said he was shocked that some senior government officials, including ministers and permanent secretaries, were applying to buy luxurious vehicles such as Land Cruiser VX when there was an agreement that there will be no buying of luxurious vehicles.
"We agreed that extravagance is not part of us. Anyone who has bought a VX in central, local, quasi-government institutions, I would like an instruction that must be followed: to bring out those VXs and sell them into the market," he said when he opened a Presidential Delivery Unit leadership workshop.
He said instead of buying luxurious vehicles, the money should be plowed into productive areas that would create jobs for the people.
He challenged government officials to improve their performance instead of dwelling on the reckless expenditure of public resources, adding that people elected the current government because they wanted improved service delivery.
People, he said, voted for the current government because they wanted to see improved living standards, adding that the trust of the people should be returned with effective and quality service delivery.
According to him, some ministers and permanent secretaries were perpetually traveling, yet their performance was below par, and they should feel a sense of shame.
He challenged them to improve their output, adding that he was tired of swearing in new people every month due to the inefficiency of some people whom he was forced to fire.
He further expressed concern that some officials were working in isolation and called for collaboration in the public service in order to improve service delivery.
Secretary to the Cabinet Patrick Kangwa called on all public workers to ensure hard work and realize that they have a duty to deliver to the expectations of Zambians.
The Zambian president recently announced the setting up of the Presidential Delivery Unit aimed at accelerating the implementation of government programs and projects.
Source: Zambian president orders sale of luxury vehicles bought for gov't officials - New Vision Official