Zambia wana malls nyingii na hawajisifu kama hawa jamaa zetu wa Kenya


Mi na interact na wote. Mi mtu international si kama wewe!! Uliza mtu yoyote East Africa atakwambia Kenyan attitude. Kwa materials mlikimbiza kidogo huko nyuma your time is now over!!!

By the way, JF wangeanzisha forum ya "Rwanda News and Politics" tu discuss mambo positive ya maendeleo rather than kusikiliza sifa hewa za Kenya.

Yaani watu wanajisifia mpaka wanadanganya their whole nation kwamba wana the biggest budget in East Africa only to realize hawana fedha!!!! Sijui hii english inawasaidia nini!!
 
Sasa ww embe nyonyo nikuulize ....hizo mall 100 Za NBO mbona hazijaonekana na wageni? Hyo Ni quick research tu na kama umeona mall zazidi kujengwa na wako kimya...
 
Sasa ww embe nyonyo nikuulize ....hizo mall 100 Za NBO mbona hazijaonekana na wageni? Hyo Ni quick research tu na kama umeona mall zazidi kujengwa na wako kimya...

Kaa LDC kwako, wacha kuuliza maswali ya kijinga.
 

Sawa mtu international🤣🤣🤣
 
Huku botwasna wangehamia wa tz basi kelele zingekua nyingi sana ila wenyewe wametulia tuliii
 
Watu walioendelea siku hizi wanaachana na habari za mi malls, wanamaliza manunuzi online. For the most part.

Nyie bado mnashangilia na kushindana kwa namba za mi malls?

Tena ambayo inauza zaidi vitu ambavyo hamjatengeneza?

Ulimbukeni gani huu?

Kiranga; Watanzania tuna definition ya ajabu sana ya maendeleo.
 
Kiranga; Watanzania tuna definition ya ajabu sana ya maendeleo.
Ulimbukeni umezidi.

Na hapo ni baada ya miaka kibao ya hotuba na vitabu kutoka watu kama Nyerere walioeleza vizuri sana dhana ya maendeleo.

Dr. Shivji katika kuadhimisha uhuru kakumbusha vijana wasome historia.

Kwa mitazamo kama hii ya kushindana kwa malls, tuna safari ndefu.
 

Kabisa. Kuna mtu hapa anawabeza Wakenya kwa "kuwa na malls chache" anasahau kuwa kuna international companies nyingi tu zina regional offices Kenya. Anasahau kuwa online business ndio mpango mzima dunia ya leo.
 
Hahaha....created a thread bragging about malls? In this day and age? Really?

We Kenyans sometimes wonder what is wrong with Tanzanians. But then, there is a reason this map exists.
 
Hauna akili
Mmoja wa watu wa hovyo kabisa

Imagine a delinquent Poor Danganyikan with Cowdung in between his ears calling a Kenyan ovyo. That's an abomination. Go hug a transformer baby Satan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…