Zambia wana malls nyingii na hawajisifu kama hawa jamaa zetu wa Kenya

Bro ukienda Botswana na Namibia utaona maendeleo makubwa, lakini wako kimya kabisa.

Ila waKenya wakifanya kidogo tu, kelele dunia nzima.
Tatizo ushamba mwingi.

Hapa JF Kenya section si kule vijiweni ambako mtu yeyote anaweza ku claim kitu bila ushahidi...... How big is Lusaka? Lusaka mji mdogo kwahivyo ukitembea unaweza kuona kila kitu kwa siku mmoja... So ni rahisi kusema ni city of malls kwasababu kila kona ndani ya mahali padogo unapatana na mall...... Try go through all the malls in Nairobi, I guarantee you, hautamaliza kuzizunguka na siku moja...


Hizi hapa takwimu za mallas in Africa (Outside of South Africa)

By 2016:

2. Nairobi, Kenya ilikua na 391,000 square meters of retail mall space.
3. Windhoek, Namibia - 260,000 sq.m
4 Gaborone, Botswana 247 sq.m
..
..
7. Lusaka, Zambia 149,000 sq.m




Kwahivyo licha ya hio Video, Zambia wako mbali sana kulinganisha na Nairobi hata kama wako mbele ya Dar! Na ikiwa mtadai eti 2016 ni mbali kwahivyo sahii wametupiku kwa malls, jua kwamba by 2016, bado Kenya ndo ilikua inaongoza kwa ujenzi wa malls mpya...





Kwahivyo Zambia ni size yenu Dar, sisi tuwachie tupambane na kina Egypt
 

🤣🤣🤣
Inategemea na speed unayotumia kuzunguka mji.
 
🤣🤣🤣
Inategemea na speed unayotumia kuzunguka mji.
Hata ukazunguka Nairobi yote siku ya juma pili ambapo hua hakuna magari jijini bado hawezi kumaliza Malls zote ndani ya siku moja
 
wee!!! litanzania unasifia zambia kwani ndo kwenu? hvi una akili kweli?? sisi Kenya tunatamba kanda ya Africa Mashariki na kati wewe unatupeleka kusini? Ndo maaana hamkukusoma shule za uelewa zaidi ya kukariri siasa ya ujamaa eti ndo njia pekee!! mwee!!

sababu kila kitu mitanzania hamuelewi mpaka ufafanuzi weeee!! hivi huoni hata Lissu alipotunguliwa aliponea kwa Madaktri wa wapi?? si mna hospitali hapo tena kuubwa nyingi tu!!

Km haitoshi mumemuua Rais wenu, kizembe kabisa!! atrial fibrillation siyo ugonjwa wa kumuua mtu!! mkubwa mwenye tabibu maalum!! tuwasahihisha mnaleta ubishi! jua kabisa kibera ya Nairobi, ni km oysterbay yenu hapo bongo!
 
Its well known ndanganyika is not a naco state but they play a role in logistics
 
Mbona hii lafudhi yako ni ya kitanzania?
 
Ukweli usio pingika., na kwa sasa ni zaidi..,
 
Mbona hii lafudhi yako ni ya kitanzania?
kwa hiyo mutanazania hasemi ukweli? siyo wakenya wote hawajui kiswahili, hivi jaluo wa shirati au mkurya wa bongo, hata sukuma gang mwita kiaro wanajua kiswahili wale si bora wakenya?
 
kwa hiyo mutanazania hasemi ukweli? siyo wakenya wote hawajui kiswahili, hivi jaluo wa shirati au mkurya wa bongo, hata sukuma gang mwita kiaro wanajua kiswahili wale si bora wakenya?
Nimeuliza kuhusu lafudhi, sio ulicho sema., yaani speech..., tone of your writing., kwani wewe ni kukurupuka tu na jibu kabla ya kuelewa unacho ulizwa? Mbona unajishuku kama umeandika ukweli ama la? sijapinga ama kukubaliana na ulicho andika😂😂, Pengine ungesema hivi; "mimi ni mtanzania" bila haya, ama "nimeishi na watanzania," ama " naishi kwa mpaka ya Tanzania"., hehehe.,
swali ilikua mbona lafudhi yako ni kama ya kitanzania? Maandishi...,
 
Ni kosa kisheria! kumpangia jibu muulizwa! mkuu Lafudhi ni sehemu ya Lugha muanana! umejuaje nimejishuku? au umesema tuu! km hujakubaliana wala kupinga, ume respond nini sasa!!

Kuna wakenya, wazaire weeengi wanaongea kiswahili kizuri, kuliko watanzania!! tatizo lenu wabongo mnaangalia wajaluo, wakikuyu , wakamba nk, MOmbasa, kisangani,kampala nk hampagusi! unaona hapa umedhani mie mtanzania! jua kenya , uganda rwanda , Burundi, ethiopia somalia nimekaa sana,

tena wanaongea kiswahili si kawaida! TZ kiswahili bomba kiko, Tanga, DSM pekee!!! RTD ingekuwa Moshi au singida mngeyamba kifukuto. Kenya Voic of Nairobo iko bara!!! siyo pwani, RTD iko pwani kwa wazaramo!! mfayulu
 
Majamaa zetu mazuzu sana
Kuna mshikaji alienda Lusaka alinambia kuna malls kila kona mm nikahisi ananijaza tu...sasa kitu kama unavyoona lakin wenyewe wako kimya. Hawa nyumbu as jubilee wanakelele sana na vyombo hawana
Nakujaza Tena mkuu Zambia sio Malls Kuna SHOPRITES za kufa mtu mi nilipita kwaka Jana 2022 Dec 3. Na hayo ndo maduka yao sio ya hapa Dar kwa kina mangi nipe maji ya Hill😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…