Zambia yabadilisha uniform za jeshi la Polisi

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema hatimaye amefanikiwa kubadilisha uniform za jeshi la polisi la nchi hiyo.

Hiyo ni moja kati ya sera yake ya kulibadilisha jeshi la polisi la nchi hiyo katika ufanyaji wake kazi.

Zamani askari walikuwa wakivaa kaki kama inavyoonekana pichani.


Na sasa askaro polisi wa nchi hiyo wanavaa sare kama zinavyoonekana hapo chiniπŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½

Unazipa alama ngapi chini ya 10 sare mpya za jeshi la polisi Zambia?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umejua kunichekesha Walahi na swaumu hii

Nilifikiri bonge la uniform niliposhuka chini daah!

Nikajisemea hawa ni wafungwa ama.

Hapo wafungwa wanatoroka kirahisi sana maana watafanana
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
Dhambi jamani, kwanini lakini? Wafungwa si wafungwa aah...
 
Tanzania wapewe vitenge au bazee
 
Mimi nazipa alama 8/10 kwanini 1.zipo huru
2.Kazi ya polisi ni purukushani ,suti sii mahali pake,hiyo waachiwe maofisa wasioenda kwenye purukushani
3.Hata mhuni anaweza kufikiri amekutana na mwanakwaya tena
mlokole
4.Kupiga hatua,kukimbia au kuficha vitendea kazi zinaruhusu.
5.wanaume na wanawake wakware watanasamo kirahisi hata wahuni wanaotafutwa na waliobadilisha sareπŸ˜‚
Hivyo wahuni wote mjiandae kunaswa kama kuku wa kitoweo πŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…