Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiba ya nini,funguka kama hamna kesho,maisha ni leo,kesho sii yako,huamini,ni kukumbusha tu,fikiria juu ya ile kesi mchongo ya ugaidi,zuio haramu la kufanya kazi halali kwa vyama,fikiria manyanyaso ya wa ya kubrushi, na faini zile za mil.25,na mazuio ya magazeti mieli mitatu na wengine daima,vifungo na kesi hewa🤔.Naomba niweke Akiba ya Maneno.
😅😅😅😅😅 Share za ovyo hiziRais wa Zambia, Hakainde Hichilema hatimaye amefanikiwa kubadilisha uniform za jeshi la polisi la nchi hiyo.
Hiyo ni moja kati ya sera yake ya kulibadilisha jeshi la polisi la nchi hiyo katika ufanyaji wake kazi.
Zamani askari walikuwa wakivaa kaki kama inavyoonekana pichani.
View attachment 2572325
Na sasa askaro polisi wa nchi hiyo wanavaa sare kama zinavyoonekana hapo chini👇🏽👇🏽
View attachment 2572326Unazipa alama ngapi chini ya 10 sare mpya za jeshi la polisi Zambia?View attachment 2572327
Hao chini ni wafungwa gerezani?Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema hatimaye amefanikiwa kubadilisha uniform za jeshi la polisi la nchi hiyo.
Hiyo ni moja kati ya sera yake ya kulibadilisha jeshi la polisi la nchi hiyo katika ufanyaji wake kazi.
Zamani askari walikuwa wakivaa kaki kama inavyoonekana pichani.
View attachment 2572325
Na sasa askaro polisi wa nchi hiyo wanavaa sare kama zinavyoonekana hapo chini👇🏽👇🏽
View attachment 2572326Unazipa alama ngapi chini ya 10 sare mpya za jeshi la polisi Zambia?View attachment 2572327
wanaonekana kama migambo, hata haipendezi. sijajua kilichokuwa kinamkera kwenye uniforms za zamani ni nini? Polisi ni coercive authority, hawatakiwi kuonekana kama warembo.Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema hatimaye amefanikiwa kubadilisha uniform za jeshi la polisi la nchi hiyo.
Hiyo ni moja kati ya sera yake ya kulibadilisha jeshi la polisi la nchi hiyo katika ufanyaji wake kazi.
Zamani askari walikuwa wakivaa kaki kama inavyoonekana pichani.
View attachment 2572325
Na sasa askaro polisi wa nchi hiyo wanavaa sare kama zinavyoonekana hapo chini👇🏽👇🏽
View attachment 2572326Unazipa alama ngapi chini ya 10 sare mpya za jeshi la polisi Zambia?View attachment 2572327
Hiyo ni uniform mpya ya Zambia Revenue Authority (ZRA) customs officers.Mtoa mada are you sure with what you trying to convince the panel? Zambia kuna police wa magereza na hiyo unayosema ni mpya ndio uniform wanayotumika sasa Napatwa mshangao?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💯He must be joking
[emoji23][emoji23][emoji23]Bora wamebadili maana walikuwa kwa mbali wanaonekana kama kikundi cha fisi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema hatimaye amefanikiwa kubadilisha uniform za jeshi la polisi la nchi hiyo.
Hiyo ni moja kati ya sera yake ya kulibadilisha jeshi la polisi la nchi hiyo katika ufanyaji wake kazi.
Zamani askari walikuwa wakivaa kaki kama inavyoonekana pichani.
View attachment 2572325
Na sasa askaro polisi wa nchi hiyo wanavaa sare kama zinavyoonekana hapo chini[emoji1427][emoji1427]