Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sare itakuwa ni ya kipekee duniani kote.Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema hatimaye amefanikiwa kubadilisha uniform za jeshi la polisi la nchi hiyo.
Hiyo ni moja kati ya sera yake ya kulibadilisha jeshi la polisi la nchi hiyo katika ufanyaji wake kazi.
Zamani askari walikuwa wakivaa kaki kama inavyoonekana pichani.
View attachment 2572325
Na sasa askaro polisi wa nchi hiyo wanavaa sare kama zinavyoonekana hapo chini👇🏽👇🏽
View attachment 2572326Unazipa alama ngapi chini ya 10 sare mpya za jeshi la polisi Zambia?View attachment 2572327
Dah! Utafikiri mamba wamepakwa rangi,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umejua kunichekesha Walahi na swaumu hii
Nilifikiri bonge la uniform niliposhuka chini daah!
Nikajisemea hawa ni wafungwa ama.
Hapo wafungwa wanatoroka kirahisi sana maana watafanana
[emoji2][emoji2][emoji2]Tanzania wapewe vitenge au bazee
Teh 😂😂😂 Africa bhana....Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema hatimaye amefanikiwa kubadilisha uniform za jeshi la polisi la nchi hiyo.