Zambia yabadilisha uniform za jeshi la Polisi

Zambia yabadilisha uniform za jeshi la Polisi

Wamefanya kusudi ili wakiwa wengi wasionekane wawe kama kundi la pundamilia
 
Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema hatimaye amefanikiwa kubadilisha uniform za jeshi la polisi la nchi hiyo.

Hiyo ni moja kati ya sera yake ya kulibadilisha jeshi la polisi la nchi hiyo katika ufanyaji wake kazi.

Zamani askari walikuwa wakivaa kaki kama inavyoonekana pichani.

View attachment 2572325
Na sasa askaro polisi wa nchi hiyo wanavaa sare kama zinavyoonekana hapo chini[emoji1427][emoji1427]

View attachment 2572326Unazipa alama ngapi chini ya 10 sare mpya za jeshi la polisi Zambia?View attachment 2572327

Kama wafungwa wa ugaidi[emoji23][emoji23][emoji23] zimekosekana namba tu kwenye moyo hapo
 
hakuna kilicho nifanya nitilie mkazo hii post ila comment za humu ndio zimeniacha hoi yani....
Haahahaaahhahah
 
Hizo lebo za rank ni za navy na sidhan km zambia wana navy itakua mambo ya April fool
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umejua kunichekesha Walahi na swaumu hii

Nilifikiri bonge la uniform niliposhuka chini daah!

Nikajisemea hawa ni wafungwa ama.

Hapo wafungwa wanatoroka kirahisi sana maana watafanana
Nimecheka sanaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
 
Back
Top Bottom