Zambia yabadilisha uniform za jeshi la Polisi

Naomba niweke Akiba ya Maneno.
Akiba ya nini,funguka kama hamna kesho,maisha ni leo,kesho sii yako,huamini,ni kukumbusha tu,fikiria juu ya ile kesi mchongo ya ugaidi,zuio haramu la kufanya kazi halali kwa vyama,fikiria manyanyaso ya wa ya kubrushi, na faini zile za mil.25,na mazuio ya magazeti mieli mitatu na wengine daima,vifungo na kesi hewa🤔.
 
😂😂😂😂 bora ata wangeniambia niwasaidie kuchagua kitambaa.
 
Mtoa mada are you sure with what you trying to convince the panel? Zambia kuna police wa magereza na hiyo unayosema ni mpya ndio uniform wanayotumika sasa Napatwa mshangao?
 
😅😅😅😅😅 Share za ovyo hizi
 
Hao chini ni wafungwa gerezani?
 
wanaonekana kama migambo, hata haipendezi. sijajua kilichokuwa kinamkera kwenye uniforms za zamani ni nini? Polisi ni coercive authority, hawatakiwi kuonekana kama warembo.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na hawa wetu inabidi wabadilishiwe.
 
Mtoa mada are you sure with what you trying to convince the panel? Zambia kuna police wa magereza na hiyo unayosema ni mpya ndio uniform wanayotumika sasa Napatwa mshangao?
Hiyo ni uniform mpya ya Zambia Revenue Authority (ZRA) customs officers.

Na sio hawa askari wa kawaida kama watu wengi walivyokubali kuingizwa mkenge.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wameona waende na pundamilia
Sijui chuichui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…