Zambia yabadilisha uniform za jeshi la Polisi

Wamefanya kusudi ili wakiwa wengi wasionekane wawe kama kundi la pundamilia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah
 

Kama wafungwa wa ugaidi[emoji23][emoji23][emoji23] zimekosekana namba tu kwenye moyo hapo
 
hakuna kilicho nifanya nitilie mkazo hii post ila comment za humu ndio zimeniacha hoi yani....
Haahahaaahhahah
 
Hizo lebo za rank ni za navy na sidhan km zambia wana navy itakua mambo ya April fool
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umejua kunichekesha Walahi na swaumu hii

Nilifikiri bonge la uniform niliposhuka chini daah!

Nikajisemea hawa ni wafungwa ama.

Hapo wafungwa wanatoroka kirahisi sana maana watafanana
Nimecheka sanaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…